Wazazi wenza...!

Huu mfumo jike naona sasa unaota mizizi nitaanzisha harakati kali kupambana nao, maana sijaona hapa likiongelewa swala la mama kulipia school fees au mnajifanya hamjui kwamba kuna wanawake wanatuzidi vipato?
 
Dunia hii ina mambo wewe...
 
unajua the godfather the book ilikuwa inaitwa
the sum of all wisdom na recommended kwa kila mwanaume...

Now wewe unanifanya nione maybe na kila mwanamke asome vitabu vya mario puzo...

When i read his books his characters are forever printed in my head... And for any man who reads, loves and appreciate the books there is some chance that he is a good man... as much as all the books are about what man can do to achieve power and success the first important thing for him is Family... Always protect and provide for your family....Always...
 
Never mind...
 
ahhhh.
What can i say......
Sijui nianzie wapi...
 
Hahhahha...karibu na asante!!
Nafurahi kusikia unawapenda na kuwajali wanao ipasavyo...na mvumilivu kiasi cha kuweza kuishi na mwenzako japo moyo haukuwa nyumbani!!!

Hapo kwenye kuwish endelea atakuja ambae hata mimi sioni ndani!!Lolz
 
Mi sina watoto wala mtoto,ila kwa uliyosema ni kweli kama baba hana msimamo ndoa itakuwa bala na chanzo kitakuwa ex,ila cha msingi kuliko vyote ni wazazi kuepuka kutengana!Ili kuepusha matatizo yasiyo ya lazima!
 
I like your skill Asha
 
Huu mfumo jike naona sasa unaota mizizi nitaanzisha harakati kali kupambana nao, maana sijaona hapa likiongelewa swala la mama kulipia school fees au mnajifanya hamjui kwamba kuna wanawake wanatuzidi vipato?
Wanawake wengi hua wanafanya kana kwamba watoto ni wa mwanaume tu....inabidi muanze kugawana cost kama hamuishi pamoja!
 
Mi sina watoto wala mtoto,ila kwa uliyosema ni kweli kama baba hana msimamo ndoa itakuwa bala na chanzo kitakuwa ex,ila cha msingi kuliko vyote ni wazazi kuepuka kutengana!Ili kuepusha matatizo yasiyo ya lazima!

Huwezi kuepuka kutengana na mtu ambae huwezi kuishi nae!
 
the boss please say something....

duh,lizzy aliniomba
nisiichakachue hii thread so nakuja pm
nikupe maelezo ya godfather...

Lizz.... Watoto ni watoto
na ni vey innocents..
 
duh,lizzy aliniomba
nisiichakachue hii thread so nakuja pm
nikupe maelezo ya godfather...

Lizz.... Watoto ni watoto
na ni vey innocents..

That is why you are so hard to read... this thread inahusu mambo ya family...
na The God father vivyo hivyo... anyways me waiting....
 
Ndefu haswa. Siamini kama nimeimaliza.
Ahsante kwa ushauri mpendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…