Wazazi wenza...!

Wazazi wenza...!

kumbe we mchoyo....lol
sasa mbona unanishauri nisiwe mchoyo na mimi?
What if unakutana na mtu ambaye polygamy ndio lifestyle?????????

Basi naendelea na safari maana hatutawezena!!

Hhahahhah nilisema maana huo msemo wanaume mnaupenda sana!
 
bora afanyie huko huko akirudi nidhamu iwepo kuliko kuleta ndani tuwe wawili. Lol.

I love your line of thot... Mimi pia... after all kuna asie fanya basi...lol.. akiletaa wa pili utafikiri katulia kumbe yale yale kuongeza tu gharama..
 
Ila ni ngumu kujua na kukubali kumshea mtu....binafsi siwezi maana nadhani ni mchoyo sana kwa kitu nnachokipenda!

Hunishindi mimi dear... yaani nikifikiria tu kua hata lile tendo muhimu ni kwa zamu ndo sielewi kabisa... sijui siku una mzuka alafu si zamu yako inakuaje??
 
Thats my girl!!
 
i love your line of thot... Mimi pia... After all kuna asie fanya basi...lol.. Akiletaa wa pili utafikiri katulia kumbe yale yale kuongeza tu gharama..

inaonekana wanawake hawachukii kabisa polygamy

but mnachukia
1.gharama za kuongeza mke

2.kutokuheshimiwa na mke mdogo

3.kukosa haki zako kama mke mwenzio akiwa kwa mwenzio.....

Whatif kama mwanaume ataweza kuwa handle na hayo matatizo yasiwepo????????????
 
Hapo namba tatu imean to say mwenzio akiwa kwa mke mwenzio .....
 
Hunishindi mimi dear... yaani nikifikiria tu kua hata lile tendo muhimu ni kwa zamu ndo sielewi kabisa... sijui siku una mzuka alafu si zamu yako inakuaje??

Hahahhaha...yani ni kaaazi kweli kweli....mi niko tayari kumuachia mwenzangu afaidi nwenyewe kuliko kushea nae!
 
inaonekana wanawake hawachukii kabisa polygamy

but mnachukia
1.gharama za kuongeza mke

2.kutokuheshimiwa na mke mdogo

3.kukosa haki zako kama mke mwenzio akiwa kwa mwenzio.....

Whatif kama mwanaume ataweza kuwa handle na hayo matatizo yasiwepo????????????

Hilo swali la mtego... mimi my man has to remain my man... and that is period!!!
 
inaonekana wanawake hawachukii kabisa polygamy

but mnachukia
1.gharama za kuongeza mke

2.kutokuheshimiwa na mke mdogo

3.kukosa haki zako kama mke mwenzio akiwa kwa mwenzio.....

Whatif kama mwanaume ataweza kuwa handle na hayo matatizo yasiwepo????????????

Hata kama...mpaka mtu anakubali kuolewa maana yake anataka mtu wake mwenyewe wa kudumu...atakaempata muda wowote iwe kimawazo au kimwili na sio kuwekewa ratiba mlangoni!!
 
Kiukweli ratiba inaboa sana!
 
Hata kama...mpaka mtu anakubali kuolewa maana yake anataka mtu wake mwenyewe wa kudumu...atakaempata muda wowote iwe kimawazo au kimwili na sio kuwekewa ratiba mlangoni!!

Lizzy hubby ana demand huku ngoja nikapalilie ndoa hakikisha umemusomesha na kumuelewesha The Boss...
 
Hunishindi mimi dear... yaani nikifikiria tu kua hata lile tendo muhimu ni kwa zamu ndo sielewi kabisa... sijui siku una mzuka alafu si zamu yako inakuaje??

kuna jamaa mmoja mlinzi amepanga chumba kimoja halafu ana wake wawili.
Inapofikia zamu ya mwanamke yeyote kulala na mumewe, anamchukua mkewe wanaenda kulala lindoni.
 
Hii thread wengi imewazidi umri, sioni anaeuliza hapa je na baba yuko tayari mtoto wake akae na baba wa kambo? if the relationship has reach the point of no return?.
Kuna watu wanashindwa kuowana kwa sababu za kipuuzi kabisa kwa mfano dini, lakini wenyewe deep bado wanapendana.
 
Mhhh Lizzy bana,
Mwenzio kwa michango huwa natengeza picha yako tu, mpk nadhan wakiwekwa wadada 5 nkiambiwa Lizzy yupi naweza kukufichua hahahaha

Back 2 topic

Mi pamoja na yote ambayo wazazi wa nje wanaweza kufanya. Mi huwa nachukizwa sana na wa mama wanaolea watoto wa wenzao kwa kuwatesa, kuwabagua, kweli hii ni dhambi kubwa, tena unaweza kuta mtoto hata mama hamjui au hawawasiliani bac tu ni chuki. Mtoto sijui kakosa nini mhhhh, wacha niegeshe mie

Mbarikiwe jaman
 
kuna jamaa mmoja mlinzi amepanga chumba kimoja halafu ana wake wawili.
Inapofikia zamu ya mwanamke yeyote kulala na mumewe, anamchukua mkewe wanaenda kulala lindoni.

Punguza mzaha kwenye topic sensitive.
 
kuna jamaa mmoja mlinzi amepanga chumba kimoja halafu ana wake wawili.
Inapofikia zamu ya mwanamke yeyote kulala na mumewe, anamchukua mkewe wanaenda kulala lindoni.

unataka nicheke mpaka nishindwe kupumua lol
 
Nafurahi bada ya mabishano yetu yote yale this is the second time we are in agreement... safi saana...

Penye ukweli lazima nikubali dear,halafu pia tunapokuwa na mitazamo tofauti haimaanishi tumegombana!
 
hata kama...mpaka mtu anakubali kuolewa maana yake anataka mtu wake mwenyewe wa kudumu...atakaempata muda wowote iwe kimawazo au kimwili na sio kuwekewa ratiba mlangoni!!

hakuna ratiba
wewe unakula mpaka unaaacha
anytime .....
 
Back
Top Bottom