Wazazi wenza...!

Wazazi wenza...!

Lizzy hubby ana demand huku ngoja nikapalilie ndoa hakikisha umemusomesha na kumuelewesha The Boss...

Haahhahah...nenda nenda mpenzi...usisahau kumwagia maji bustani ya ndoa isije ikanyauka!!Huyu hata private classes ikibidi!

Hii thread wengi imewazidi umri, sioni anaeuliza hapa je na baba yuko tayari mtoto wake akae na baba wa kambo? if the relationship has reach the point of no return?.
Kuna watu wanashindwa kuowana kwa sababu za kipuuzi kabisa kwa mfano dini, lakini wenyewe deep bado wanapendana.

Mmmh kina nani imewazidi umri?!

Nwy kuhusu baba kukubali binafsi hua na amini mtoto yeyote mdogo ni vyema akalelewa na mama yake mzazi kama uwezekano huo upo kwasababu baba wa kambo tofauti na mama wa kambo hatokua responsible sana na mtoto!!

Mhhh Lizzy bana,
Mwenzio kwa michango huwa natengeza picha yako tu, mpk nadhan wakiwekwa wadada 5 nkiambiwa Lizzy yupi naweza kukufichua hahahaha

Back 2 topic

Mi pamoja na yote ambayo wazazi wa nje wanaweza kufanya. Mi huwa nachukizwa sana na wa mama wanaolea watoto wa wenzao kwa kuwatesa, kuwabagua, kweli hii ni dhambi kubwa, tena unaweza kuta mtoto hata mama hamjui au hawawasiliani bac tu ni chuki. Mtoto sijui kakosa nini mhhhh, wacha niegeshe mie

Mbarikiwe jaman

Hhhahhaha...kesho utaniambia hiyo pivh ikoje!!

BtT...hizo hua ni chuki za kutojiamini!!Ndo maana mimi hata kumpeleka mwanangu akakae na mama wa kambi likizo itakua ugomvi...japo sio wote ni wabaya ila naamini mimi mwenyewe ndo naaeweza kumtreat vile nitakavyo atreatiwe!!!

Hhhahhaha...kesho utaniambia hiyo pivh ikoje!!

BtT...hizo hua ni chuki za kutojiamini!!Ndo maana mimi hata kumpeleka mwanangu akakae na mama wa kambi likizo itakua ugomvi...japo sio wote ni wabaya ila naamini mimi mwenyewe ndo naaeweza kumtreat vile nitakavyo atreatiwe!!!

Ucjal ntakutumia uone, ndo hv hv unasikia mtu akipenda avator, sijui mwandiko hahahah

Ngoja nilale nisijeambiwa..."chagua jf au mm"

natafuta button ya groan hapa siioni....

Hhahhah...kumbe unapenda kujigawa kwa wengi ila hutaki wengi wako wajigawe kwa wengine eehhhh?!Sasa ndo ujue hamna raha kwenye kushea mapenzi...mtu akishageuka wetu sio wangu tena kwahiyo nachapa mwendo!!

Hhahhah...kumbe unapenda kujigawa kwa wengi ila hutaki wengi wako wajigawe kwa wengine eehhhh?!Sasa ndo ujue hamna raha kwenye kushea mapenzi...mtu akishageuka wetu sio wangu tena kwahiyo nachapa mwendo!!

and u will give up all the power to enjoy?????

lol ha ha haaa

Habari yenu wandugu...natumaini wote m-wazima wa afya!

Linapokuja swala la mahusiano/ndoa na watoto waliozaliwa kabla hua hatuachi kuongelea mama wa kambo na malezi ya watoto.Naongelea wamama tu maana wababa wengi hua hawana matatizo wawe wazazi kabisa au walezi(wale wa kambo) linapokuja swala la mzazi mwenza kua na mahusiano mapya au wale wa kambo kulea watoto wa mwenzie tofauti na wa mama!

Nwy mara nyingi wasiwasi hua unakua kwa watoto zaidi na malezi/uwepo wa mama wa kambo.Tunasahau kwamba hata yule mwanamke mpya anaweza akanyanyasika na uwepo wa watoto wasio wake pamoja na mama yao bila kusahau ndoa yake kuyumbishwa kama mti usio na nguvu dhidi ya upepo.Kama tunavyojua wakati mwingine au niseme baadhi ya wanawake hua na vinyongo..gubu..chuki kwa wazazi wenzao kwa kuachana nao...na kitendo cha mwanaume kupata mwanamke mwingine na kuoa hakiwi cha furaha kwa wote!Sasa wanawake wa aina hii wanaweza kutumia watoto wao kuyumbisha ndoa ya wengine pia kusambaza chuki.Ila muhimu hapa ni hili la kuyumbisha ndoa...kuharibu au hata kuondoa kabisa amani ndani ya nyumba ya mwanamke mwingine kwa kutengeneza mazingira ya kuwachanganya wapendanao!Unakuta mwenye watoto anawatumia wanae kumuendesha mwanaume kama gari moshi kitu ambacho hakiwezi kumfurahisha mwenye mume.Yani kama aliyeolewa ni mwepesi wa kukasirika na kubugidhiwa ndoa inaweza ikaishia kuzimu.

Nakumbuka kuna mtu wangu wa karibu alipata shida sana kipindi cha mwanzo cha ndoa yake.Mwenye watoto alikua ni mkorofi sana na kila anachofanya anafanya kukomoa tu.Watoto amewahamishia shule ya kawaida ila ada anapokea ya shule ya international.Anawadanganya watoto wakubali kwamba wanaumwa ili amchune baba wa watu mpaka abaki mifupa tu.Ilikua kazi kweli maana unakuta mke alishataka/hitaji kitu akaambiwa pesa hamna bwana mwezi huu tufanye kitu flani alafu mwezi ujao tutafanya utakavyo...alafu mwenzie anapiga na kuagiza wala sio anaomba awe amepata maelfu kadhaa ndani ya masaa na anapata bila ubishi. Alilia mpaka baadae alipogundua kwamba sio kosa la mume wake...yeye tatizo lake ni mapenzi kwa wanawe na woga kwa yule mama.Ikabidi aanze kumshauri mumewe asiwe mwepesi wa kukubali kuchezewa na yule mama ndo mume nae akawa mgumu na kukataa kusukumwa kama mkokoteni!

Kwahiyo naomba niwaulize wababa wenye mtoto/watoto tayari..hawapo kwenye ndoa ila wanatarajia kuwa siku moja...mmejiandaa vipi kukabiliana na changamoto zitakazosababishwa na juhudi za wazazi wenza kutaka kuvuruga ndo zenu na kuwaondolea amani ndani ya nyumba????!

Binafsi naamini mwanaume akikataa kuchezewa na mzazi mwenza basi haitatokea...hivyo basi nawashauri muwe mnawapa wale mlio nao kipaumbele.Kama akiashiria kua kuna matatizo yanayosababishwa na mzazi mwenzio hakikisha tu haitokani na chuki kisha yafanyie kazi.Usikubali kuharibiwa ndoa/mahusiano yako kwa kisingizio cha watoto ambao hata hawahusiki.Usikubali kutumiwa wala kuchezewa....mahitaji mengine ya mtoto nunua mwenyewe usije ukageuzwa kitega uchumi.Kwa wamama ukijikuta kwenye situation kama hii jitahidi kua mvumilivu na mshauri wa mwenzio...pia jitahidi matatizo yatakayosababishwa na mama mtu yasizae chuki kwa mtoto!!

Usiku mwema kwa mnaojiandaa kulala...jioni njema kwa mnaomalizia malizia siku na siku njema mnaoianza!Poleni kwa thread ndefu!

Kwa kweli inasikitisha.

kuna jamaa mmoja mlinzi amepanga chumba kimoja halafu ana wake wawili.
Inapofikia zamu ya mwanamke yeyote kulala na mumewe, anamchukua mkewe wanaenda kulala lindoni.

huko sasa ni kudimba dimba....

Hahhahha...karibu na asante!!

Nafurahi kusikia unawapenda na kuwajali wanao ipasavyo...na mvumilivu kiasi cha kuweza kuishi na mwenzako japo moyo haukuwa nyumbani!!!

Hapo kwenye kuwish endelea atakuja ambae hata mimi sioni ndani!!Lolz

Sawa Bwana,Mm mtu mzima,naona Umenipiga kibuti kistaarabu,nimekuelewa,ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!! Seriously nawapenda sana Watoto wangu ingawa mm sijawahi kuuhisi Upendo wa baba hata kwa dakika tano,yeye alipanda mbegu tu halafu akatambaa,yupo yupo tu kivyake mpaka leo!!
Nimekuzwa kwa Upendo wa Mama Tu!! Watoto tu ndiyo wanaonipa sababu ya kuwa "muangalifu" katika njia zangu za kuishi!!
Kutoka kwenye Uvungu wa Moyo wangu nashukuru kwa Muda wako Lizzy,Ana heri Mumeo Mtarajiwa!

This challenge face men from time to time, however, you should be strong enough to call a spade a spade! If you drop a woman, mother of your childern for another woman then there is a reason,..... hakuna haja ya kuwekeana visasi na kudia UMENIPOTEZEA MUDA!

Boss!!!! Do you suggest that Hawara hana talaka???? Kemea kwa nguvu zote na shetani ashindwe!

Sawa Bwana,Mm mtu mzima,naona Umenipiga kibuti kistaarabu,nimekuelewa,ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!! Seriously nawapenda sana Watoto wangu ingawa mm sijawahi kuuhisi Upendo wa baba hata kwa dakika tano,yeye alipanda mbegu tu halafu akatambaa,yupo yupo tu kivyake mpaka leo!!
Nimekuzwa kwa Upendo wa Mama Tu!! Watoto tu ndiyo wanaonipa sababu ya kuwa "muangalifu" katika njia zangu za kuishi!!
Kutoka kwenye Uvungu wa Moyo wangu nashukuru kwa Muda wako Lizzy,Ana heri Mumeo Mtarajiwa!

Hhahhaah...nafurahi na mwenyewe umekipokea vizuri!Lolz!!Mume mtarajiwa ehhhh?mmh haya asante!!

Kwakweli unastahili hongera...kuna watu wao sababu hawakupata mapenzi ya baba hua wanalipizia kwa kutojali watoto wao!!Endelea hivyo hivyo na Mungu atakubariki na yul atakayekufaa!!

Nampenda because he is one of the writers ambao wananifanya nielewe men's mind zaidi...

sijawahi kumsoma mario puzzo,umeni inspire ngoja nitafute kitabu chake,vinahusu nini umafia kama ninavyoujua mie?

Mimi nadhani watoto ni vema wakae na mama yao uendege kuwatembelea tu. Ni ngumu sana kukaa na amani kama mama wa watoto yuko hai. Lazima atakuwa anakagua wanae wanaishi vipi, mwisho wa siku ugomvi. Mama wa kambo hata akiwapenda hao watoto bado inaweza kuwa shida vile vile. Yaani sisi wamama ukifikiria ulivyoangaika kuwapata hao watoto leo hii wakuone kama mpita njia, lazima ulete shari tu watoto waendelee kuku value kuliko huyo mama kambo.
Nyumba kubwa,hapo kwenye red hapo,hiyo tembelea tembelea hiyo,mwisho ex wako atakuandalia dinner with a glass of wine and then....well....welll...mtaishia kuzaa mtoto mwingine.Besides hivi huyo ex kama naye ameolewa/ana bwana unadhani bwanake/mmewe atakubali ex wako awe anakuja kukutembelea kisa eti kuwaona watoto?Pana ugumu dear.

Back
Top Bottom