Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hii thread mngetuachia sisi tuliopata mtoto kabla ya ndoa, nawashauri msije mkafanya makosa haya tuliofanya sisi. ni mateso bila chuki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nampenda because he is one of the writers ambao wananifanya nielewe men's mind zaidi...
Michelle Michelle... mambo gani tena haya...
Kwahiyo naomba niwaulize wababa wenye mtoto/watoto tayari..hawapo kwenye ndoa ila wanatarajia kuwa siku moja...mmejiandaa vipi kukabiliana na changamoto zitakazosababishwa na juhudi za wazazi wenza kutaka kuvuruga ndo zenu na kuwaondolea amani ndani ya nyumba????!
Unamkumbuka yule bwana aliesema he is 42 years old with two kids from different mothers? Ndicho kinachomsibu hadi ashindwe kupata mwenza. Tatizo ni kuwa ni kina mama (at least in a conventional marriage) ndio wanaotumia muda mrefu na watoto. Same case you don't hear problems between father-in-law and son-in-law (as contrasted with mother-in-law VS daugther-in-law).
But it is simplistic to just assume there is a clear-cut solution to this situation, because each person was created unique. We react differently to the same situation, though generally bado sijajua what is the problem with (the majority of) women kushindwa kuwalea watoto wao wa kambo kama wanavyowalea wa kwao wenyewe. Ukiniuliza mimi (sijui wanaume wengine out there wanasemaje) nitakwambia hivi juu ya swali lako:
Sina jibu, inategemea huyo mwanamke nitakaekutana nae yukoje. Lakini Biblia inatwambia ndoa hujengwa na mwanamke! Which means hata ndoa inayokutanisha wazazi wawili kutokana na mahusiano yao ya awali kwa kiwango kikubwa itategemea mwanamke - kwa utashi wake toka moyoni mwake - yuko tayari kiasi gani kuwalea watoto wa mwenzake (kulea watoto wa wenzetu kwa wanaume hilo kwetu si shida kabisa maana hata ndani ya ndoa twabambikiwa sana tu na unajua ila mzee unauchuna kama Bushoke).
kumbe sionekani???
Ngoja nitumie mkorogo lol
duh.....
Pole sana....
But tatizo sio kwamba hamtuelewi
tatizo ni kuwa tupo wired differently....
Na baadhi ya mambo yako beyond our control
usiku mwema dearest,naona frustration zangu binafsi nataka zimu-influence lizzy kwenye decision yake....i just love her,thats it,sitapenda kutomuona au kitu ki-mbadilishe.....nafikiri alipo ana maisha mazuri na ameridhika na ndo maana anakuwa useful kwetu,binafsi naogopa sana ndoa kwa kuwa wengi walioko hawanishuhudii raha,so najua any psychological disturbance will not be good for her & us....sweetdreams!!:a s-rose:
usiku mwema dearest,naona frustration zangu binafsi nataka zimu-influence Lizzy kwenye decision yake....i just love her,thats it,sitapenda kutomuona au kitu ki-mbadilishe.....nafikiri alipo ana maisha mazuri na ameridhika na ndo maana anakuwa useful kwetu,binafsi naogopa sana ndoa kwa kuwa wengi walioko hawanishuhudii raha,so najua any psychological disturbance will not be good for her & us....sweetdreams!!:A S-rose:
ndio... But at least inanifanya niwe na idea... Through puzo nimejifunza a guy is interested in a sport... Do not disturb him for the attention you seek at that time will be useless his mind wont be with you.... Sio kwamba katoa guidelines but you get that by reading his stories..
unajua the godfather the book ilikuwa inaitwa
the sum of all wisdom na recommended kwa kila mwanaume...
Now wewe unanifanya nione maybe na kila mwanamke asome vitabu vya mario puzo...

Habari yenu wandugu...natumaini wote m-wazima wa afya!

Linapokuja swala la mahusiano/ndoa na watoto waliozaliwa kabla hua hatuachi kuongelea mama wa kambo na malezi ya watoto.Naongelea wamama tu maana wababa wengi hua hawana matatizo wawe wazazi kabisa au walezi(wale wa kambo) linapokuja swala la mzazi mwenza kua na mahusiano mapya au wale wa kambo kulea watoto wa mwenzie tofauti na wa mama!

Nwy mara nyingi wasiwasi hua unakua kwa watoto zaidi na malezi/uwepo wa mama wa kambo.Tunasahau kwamba hata yule mwanamke mpya anaweza akanyanyasika na uwepo wa watoto wasio wake pamoja na mama yao bila kusahau ndoa yake kuyumbishwa kama mti usio na nguvu dhidi ya upepo.Kama tunavyojua wakati mwingine au niseme baadhi ya wanawake hua na vinyongo..gubu..chuki kwa wazazi wenzao kwa kuachana nao...na kitendo cha mwanaume kupata mwanamke mwingine na kuoa hakiwi cha furaha kwa wote!Sasa wanawake wa aina hii wanaweza kutumia watoto wao kuyumbisha ndoa ya wengine pia kusambaza chuki.Ila muhimu hapa ni hili la kuyumbisha ndoa...kuharibu au hata kuondoa kabisa amani ndani ya nyumba ya mwanamke mwingine kwa kutengeneza mazingira ya kuwachanganya wapendanao!Unakuta mwenye watoto anawatumia wanae kumuendesha mwanaume kama gari moshi kitu ambacho hakiwezi kumfurahisha mwenye mume.Yani kama aliyeolewa ni mwepesi wa kukasirika na kubugidhiwa ndoa inaweza ikaishia kuzimu.

Nakumbuka kuna mtu wangu wa karibu alipata shida sana kipindi cha mwanzo cha ndoa yake.Mwenye watoto alikua ni mkorofi sana na kila anachofanya anafanya kukomoa tu.Watoto amewahamishia shule ya kawaida ila ada anapokea ya shule ya international.Anawadanganya watoto wakubali kwamba wanaumwa ili amchune baba wa watu mpaka abaki mifupa tu.Ilikua kazi kweli maana unakuta mke alishataka/hitaji kitu akaambiwa pesa hamna bwana mwezi huu tufanye kitu flani alafu mwezi ujao tutafanya utakavyo...alafu mwenzie anapiga na kuagiza wala sio anaomba awe amepata maelfu kadhaa ndani ya masaa na anapata bila ubishi. Alilia mpaka baadae alipogundua kwamba sio kosa la mume wake...yeye tatizo lake ni mapenzi kwa wanawe na woga kwa yule mama.Ikabidi aanze kumshauri mumewe asiwe mwepesi wa kukubali kuchezewa na yule mama ndo mume nae akawa mgumu na kukataa kusukumwa kama mkokoteni!

Kwahiyo naomba niwaulize wababa wenye mtoto/watoto tayari..hawapo kwenye ndoa ila wanatarajia kuwa siku moja...mmejiandaa vipi kukabiliana na changamoto zitakazosababishwa na juhudi za wazazi wenza kutaka kuvuruga ndo zenu na kuwaondolea amani ndani ya nyumba????!

Binafsi naamini mwanaume akikataa kuchezewa na mzazi mwenza basi haitatokea...hivyo basi nawashauri muwe mnawapa wale mlio nao kipaumbele.Kama akiashiria kua kuna matatizo yanayosababishwa na mzazi mwenzio hakikisha tu haitokani na chuki kisha yafanyie kazi.Usikubali kuharibiwa ndoa/mahusiano yako kwa kisingizio cha watoto ambao hata hawahusiki.Usikubali kutumiwa wala kuchezewa....mahitaji mengine ya mtoto nunua mwenyewe usije ukageuzwa kitega uchumi.Kwa wamama ukijikuta kwenye situation kama hii jitahidi kua mvumilivu na mshauri wa mwenzio...pia jitahidi matatizo yatakayosababishwa na mama mtu yasizae chuki kwa mtoto!!

Usiku mwema kwa mnaojiandaa kulala...jioni njema kwa mnaomalizia malizia siku na siku njema mnaoianza!Poleni kwa thread ndefu!
hata kama wewe ndo boss hapa acha kuchakachua bana!!!alafu na wewe unasomaga kumbe?!kesho nakuja usome mi nisikilize!!
Mtoboasiri tatizo hapa sio mwenye ndoa bali aliyepo nje...
Still....i feel like something is missing!

Tumaini jipya kitu cha kwanza nnachoweza kukushauri my dear brotha ni ukikutana n mdada unaedhani mnaweza kua pamoja mbeleni hata kama hujapanga kumtokea mweleze ukweli wako wote.Kua mkweli katika hali ya kutaarifiana kuhusu maisha yenu...ukiwa na bahati anaweza akakwambia yeye anaonaje ishu ya kulea watoto wa mwenzie kama maongezi ya kawaida tu...ukishajua hata siku ukija jikuta umemdondokea utajua kama mtawezana au la....pia dada nae hatosita kukukatalia kama hawezi kutekeleza hilo kinadharia!!Pili usisahau kumwomba Mungu akutumie mtu mwelewa na mwenye moyo wa uvumilivu ili maisha yasiwe na milima mingi sana....zaidi ya hapo kila la kheri!Ntakuombea umpate wa kukufaa wewe na wanao...na wewe umfae pia!