Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hi there DarlingAsante Bae tutajongea asa kwa mademu wa buku 10
Tangazo bila picha ni kama nyama choma bila nanihii baridiiii!Wakuu Bar Maarufu ya Ambiance Sinza Imerudi.
.
Bar ya Ambiance Kwa Sasa Ina Unyama Mwingi.
.
Jamaa kaweka Tv Mpaka Bar, Sehemu ya Smoking Ndio Unyamaaa Mwingiii.
.
Pale smoking room Mwanangu amemweka Mtu Juzi Vzr
.
Pale Mademu ni 10k tu unaenda Kuishi Bae.
.
Karibu Sana New Ambiance Bar Sinza, Karibu na Duka La Esma Platinums
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mzee Baba, Wazazi wako wasingekuwa Wazinzi usingepatikana wwAlert!!!!! Uzi mpya kwa walevi na wazinzi..
Punguza ufala Mzee babaAsante Kwa mwongozo bi esma platinums..tutakuja
Ukijaa Hadi kumwagika nitapunguza mkuu
jifunze kutofautisha uzinzi na ndoa au mahusiano serious..Mzee Baba, Wazazi wako wasingekuwa Wazinzi usingepatikana ww
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nipitie dea.Jioni nitapita nijionee.
Nyie nendeni mtaa wa fisi!Hili tangazo sisi wa huku Sumbawanga naona kama halituhusu.
Upo maeneo yapi..Nipitie dea.