PreGE2025 Wazee Bumbuli: Tutamchukulia Fomu January Makamba kwa Fedha Zetu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Black Butterfly

Senior Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
131
Reaction score
378
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na wazee wa Jimbo la Bumbuli, Mkoani Tanga, wameibuka na ahadi ya kumchukulia fomu ya kugombea ubunge kwa Mbunge wao wa sasa, January Makamba kwa kutumia fedha zao binafsi kama ishara ya kutambua mchango wake mkubwa katika maendeleo ya jimbo hilo kwa ushirikiano na Rais Samia Suluhu Hassan.

Azimio hilo wamelitoa katika mkutano maalum wa pamoja wenye lengo la kujadili maendeleo ya Bumbuli, wazee na viongozi hao wamesema wametoa azimio hilo baada ya kufanya tathmini kwa wakazi jimbo hilo nakuona kuwa matakwa ya wananchi bado wanataka Mbunge aliyopo sasa aendelee kuongoza kipindi kijacho cha 2025- 2030 ili aendelee kumsaidia kazi Rais Samia.

“Mchango wa January katika maendeleo ya Bumbuli ni wa kipekee. Huyu si kiongozi wa maneno, bali wa vitendo. Muda ukifika, sisi wenyewe tutamchukulia fomu ya ubunge,” alisema mmoja wa wazee kwa msisitizo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Awali , Katibu wa Wenyeviti wa CCM wa kata za Bumbuli, Baraka Utanda, akisoma azimio rasmi la pamoja la kuunga mkono Makamba kuendelea kuwa Mbunge wa Bumbuli kwa kipindi kingine cha miaka mitano.

“Tumeazimia kwa kauli moja kwamba kwa kipindi cha 2025 hadi 2030, tutampigia kura Rais Samia tutampigia kura tena January Makamba. Tumemwona anavyojali maendeleo, na hatutaki kupoteza kiongozi wa aina hii,” alisema Utanda.

January Makamba, amekuwa mbunge wa Bumbuli kwa vipindi kadhaa na amepongezwa mara kadhaa kwa kusukuma miradi ya maendeleo katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, miundombinu na nishati lakini ndie aliyepambana bumbuli kuwa halmashauri kamili.

View: https://x.com/millardayo/status/1911874089385672791?t=TU05fJDUQVIaJGYsP-TPzA&s=19
 
- MillardAyoUPDATES
Hawa wazee wana matatizo ya kiakili kwa kweli, yaani January ndiyo mtu wa kumpigia kampeni, hivi hawana mtu mwingine wa maana huko?
 
Hao wazee wakapimwe akili,January huwa anaoneka nyakati za uchaguzi tu barabara mbovu ahadi ya kuwekwa lami kwa zaidi ya miaka 15 sasa haijatekelezwa,pumbavu kabisa hao wasambaa.
 
Huyo mtoto wa makamba kuna anayemtishia kumtoa bumbuli? Huyo hakuna wa kumtoa hata kama hatachangiwa kuchukua fomu, hao wazee ni wapuuzi tu, jimbo si mali ya makamba
 
TZ iko hapa ilipo kwasababu kuna watu wasiofaa kwenye nafasi/vyombo za maamuzi, na kwasababu ya uchawa na umaskini tumekuwa tunawapa vichwa kwamba wanaupekee wa kustahili hizo nafasi wakati matunda ni sifuri.

Kama kuna mtu ana clip ya sauti au video ya hotuba yoyote ya Makamba akiongelea mambo ya kijamii anawza share hapa. Na kama kuna mdahalo ukifanyika kati ya Makmba, Bashe na Mpina, Makamba atakuwa kilaza kwenye hiyo debate.
 
Sishangai kusikia wazeew wa CCM huko Bumbuli wanamchukulia Janaury Makamba fomu kwa pesa zao, hizo ni moja ya projects za CCM, na hata Makamba sidhani kama anatamanu hao raia wake waondokane na umasikini make ni aset kwake.

Umasikini ni mtaji namba 1 wa CCM, yaani evolution ya umasikini ni utahira wa akili, sasa kwa maeneo mengi ya nchi hii yenye umasikini wa kutisha raia wa pale walisha jizima Data kitambo sana wako levo za utahira.

Nisha fika Bumbuli Tanga ni moja ya maeneo yenye umasikini asikuambie mtu aisee, kule ni balaa unajionea unasikini kwa macho kabisa. Ila sasa raia wa kule kwa sabanmbu za umasikini walisha jizima kitambo na huwaambii kitu kuhusu huyo Makamba wao.
Screenshot_20250415_205632_com.facebook.katana.jpg
 
View attachment 3305532
Masikini wanamchukulia fomu Tajiri kisa kawanunulia ubwabwa
 
Back
Top Bottom