PreGE2025 Wazee Bumbuli: Tutamchukulia Fomu January Makamba kwa Fedha Zetu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sawa January unajua kujibrand endelea muhuni wetu
 
Kapteni kwa uigizaji hajambo 😁
 
January ana siasa za kizamani, wazee huko vijijini wana hela gani ya kumchukulia mwizi kama January fomu? Yaani wazee kabisa wa kijijini wameona January anashindwa kuchukua fomu kwa fedha zake, hadi wao wajime kwa ajili ya fomu ya January?

Huo ujinga wa kuwapa wazee hela za wiki mbili tatu kununulia nyama, ndio uwatumie kwenye drama za kizamani katika kuwadhalilisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…