Wazee CHADEMA watema cheche; Katiba Mpya, sintofahamu ndani ya nchi na hali ya wazee nchini

Wazee CHADEMA watema cheche; Katiba Mpya, sintofahamu ndani ya nchi na hali ya wazee nchini

Wamepata Kadi za matibabu kwa wazee? Wametema "cheche" wao ni mafundi welding?
 
Chadema%20mzee.JPG

Wito huo umetolewa leo na Katibu Mkuu wa baraza hilo, Roderick Lutembeka wakati akizungumza na waandishi wa habari ndani ya makao mkuu ya Chadema jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya wazee duniani.
.

Hivi wazee wa CHADEMA ni watu wa rika gani? Huyo ex-staff wa PWC amekuwa mzee lini?

Kama kuna ushauri 'wazee' wa CHADEMA na wengine wanaweza kutoa kwa umma ni kuhusu watu kupiga domo. Nchi hii watu wanaongea mchana na usiku, porojo zimezidi na watu wanaamini wanasiasa watawaeletea maisha bora.
 
Ubaya ni kwamba Historia inawahukumu,JK alikua na taratibu za kukutana na wazee lakini hakuna imlact yoyote ile iliyookuwa inaonekana.
 
Back
Top Bottom