Wazee hebu tupeane yaliyojiri katika mahusiano yenu

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
14,113
Reaction score
17,645
Natumaini wote mu wa wazima wa afya. Kwa wale wenye matatizo ya hapa na pale ninawaombea wapate nafuu.

Swali langu ni hili, hivi yule mpenz wako mliekuwa mnaongea nae usiku kucha mpaka simu inakuwa ya moto kama pasi ya PHILIPS ndoa yenu imefikia wapii..Nimeuliza tuu jamanii sijamtaja mtu
 
Wewe wa kwako mmeishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni mke wanguuu yupo mkoa mmoja na familia nami niko mkoa mmoja nafanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…