Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
- Thread starter
- #61
Ana uchungu wa ex wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana uchungu wa ex wake
FreshH
Hapana, ila nimejaribu tu kwenda sawa na mada husika na kuweka Yajayo
Nimekutafuta haka kaswali tuka-discuss maana jibu naliona ni la kihenga sana sasa watanielewa😉😉😉Mimi ni wale wa kizazi cha kuandikiana barua,ila ngoja nimuite aje kujibu swali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kichwa Kichafu
We mwalimu naona maswali yako katika ubora wako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usicheke bibie, hebu funguka hapa jamaa aliyekua anapatisha kimeo chako moto siku izi yuko wapi? (Nimemsaidia mleta mada)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna usalama kweli hapa carbamazepine[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Kichwa Kichafu.
Ila tuombe Mungu jje's asije kuona ushuhuda ukitolewa[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
umeanza lini kunifanyia hivi😉[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alivyomuoga yule akija hapa ataishia kucheka tu lol!
Pole sanaAmeolewa na Bosi wake kazini.
Alikufanya nini ?Mie yaani alifanya niwachukie wanawake. Nilikuwa nawa tia huzuni kweli kweli. Kina Joyce, adela, mage, subira, walikoma