Wazee, Husna wa Corner Bar yupo wapi?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
Huyu demu/changu alikuwa mzuri kweli kweli, akikaa Mbagala japo sina hakika kama alikuwa anajua uzuri wake. Alishanigandishaa huyu manzie nikisubiri jamaa limalize nipige kumbe jamaa kachukua jumla mpaka kesho nani anajua alipo Husna?
 
huyo jamaa aliyesabibisha husna akuchomeshe mahindi nilikuwa mimi. naikumbuka vizuri sana hiyo siku. pole sana mwana.
 
Kawaida ya machangudoa wakishachuja hiwa wanabadili mawindo...huyu watu karibia wote pale wamesharudisha mbolea ndani atakuwa kabadili eneo la kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…