Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Huyu demu/changu alikuwa mzuri kweli kweli, akikaa Mbagala japo sina hakika kama alikuwa anajua uzuri wake. Alishanigandishaa huyu manzie nikisubiri jamaa limalize nipige kumbe jamaa kachukua jumla mpaka kesho nani anajua alipo Husna?