Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Umemuuliza lokiyo?huyu demu/ changu alikuwa mzuri kweli kweli
akikaa mbagala japo sina hakika kama alikuwa anajua uzuri wake. alishanigandishaa huyu manzie nikisubir jamaa limalize nipige kumbe jamaa kachukua jumla mpaka keshon
nani anajua alipo husna?
Sent using Jamii Forums mobile app