Wazee, Husna wa Corner Bar yupo wapi?

huyu demu/ changu alikuwa mzuri kweli kweli
akikaa mbagala japo sina hakika kama alikuwa anajua uzuri wake. alishanigandishaa huyu manzie nikisubir jamaa limalize nipige kumbe jamaa kachukua jumla mpaka keshon
nani anajua alipo husna?
Hilo jina
HUSNA linatosha huna haja ya kueleza sana
 
huyu demu/ changu alikuwa mzuri kweli kweli
akikaa mbagala japo sina hakika kama alikuwa anajua uzuri wake. alishanigandishaa huyu manzie nikisubir jamaa limalize nipige kumbe jamaa kachukua jumla mpaka keshon
nani anajua alipo husna?
Aiseeeeeeee[emoji26][emoji25]
 
Chezeya utamu weye! Kuna rafiki yangu alimla Barmaid mzuri sana kisha akanisifia sana kwamba ni mtamu mno halafu mtundu sana kitandani. Jamaa akawa ananishawishi nami nimle ili nifaidi utamu nikamkata jicho
😳😳😳 are you serious 😳😳😳?

Mie muoga na woga wangu umenisaidia sana kuepuka majanga na maonyo ya marafiki wema yamenisaidia sana.

Watu mna roho ngumue
 
Alikua anakupa bure?
Tena anakuja nazo,hakua wa uswaz viwanja vyake huko masaki.
Akipiga goli fresh,mi ni samaki wa kubanika,mihogo ya nazi atakaa wiki nzima katuliaa anapika na kupakua.
Full service kwangu mpk tukanunua dcm miaka hiyo.
Maisha haya mungu atusamehe tu 🙃
 
Mmmmmmmh Dunia ina makubwa yaan hadi majina ya makahaba mnayajua, na undani wake, hapanaaa kwa kweli

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…