Wazee huyu ni nyoka aina gani?

Wazee huyu ni nyoka aina gani?

Eti huyu nyoka anaitwaje?
It’s a Black Mamba (Dendroaspis polylepis). Highly venomous elapid with a fast acting neurotoxic venom. General appearance and head shape indicates it.he has death smile and a length also. Not only that has got a shape of deroaspis polylepis. Mkibisha ni nyie mmeamua although huyu sio mkubwa to the maximum ni saizi ya kati ila sumu ipo palepale .

Nb nimesomea nyoka nawajua. Ukigongwa na huyu nyoka mguuni na ukakosa matibabu kwa Lisa umeenda , ila ukigongwa kifuani ama kichwani dkk 15 haupo . Ila ukigongwa mguuni,Anti venom yake ya kukuponya ipo snake park meserani arusha tu .

Na unatakiwa kuchomwa chupa zisizopungua 15 ili kuokoa maisha yako . Kila chupa ina gharimu $200 kwahyo tujipange kwelikweli. Bahati nzuri snake park wanatoa hizo anti venom bure kama kurudisha mchango kwa jamiii. Ila bahati mbaya Hospitali zetu nyingi hazijui kutibu majeraha ya nyoka.
 
Attachments

  • licensed-image.jpeg
    licensed-image.jpeg
    134.9 KB · Views: 7
Eti huyu nyoka anaitwaje?
Kama ni sawa walivyosema waliotangulia "black mamba", Kiswahili anaitwa koboko kama sikosei.

Wanasema ni nyoka hatari zaidi duniani kwa sababu ana tabia za kushambulia pasi na kuchokozwa, ana sumu kali sana, haachi meno yake akigonga, kwa hiyo ana uwezo wa kugonga watu au wanyama hata 100 wakiwa karibu nae.

Pia ana mbio kuliko nyoka yoyote.

Tujikinge sana na nyoka hao na wengine.

Wa hatari zaidi kuliko huyo koboko ni binaadam mwenzetu.
 
Siku hizi kiswahili kinakupiga chenga.
 
Back
Top Bottom