Wazee Kenya kupokea ksh 4000 kwa mwezi

Wazee Kenya kupokea ksh 4000 kwa mwezi

Hehehe karibu,,nyie mmekazana na mavitu magumuu sie hatutaki bana yanatuongezea stress karibu kule no stress
Shukran, kwa hii 'invitation' yako lazima ntafika huko chit chat. Wanaopatwa na stress za hapa jf watakuwa wana stress zao tu hata waende wapi. Ila si wazo mbaya ku'have fun', maisha ni mafupi sana.
 
Tanzania hayo mambo yapo muda mrefu tena kwa watu wote wale wenye shida sana wanapewa pesa za kujikimu kila mwezi bureee, inaitwa tasaf
Hahahhhhh.........ya nini kulazimisha kutakatisha kaniki wakati ndo rangi yake...., nakumbuka mwaka 2003/4 walikuja kijijin kwetu hao watu wa tasaf na mpango wa kuleta umeme wa jua kwa gharama nafuu....wakaimiza watu wajiandikishe na kutoa kiwango cha elf 50 kila kaya, watu wakajitokeza kwa wingi na kuanza kulipa kidogo kidogo wazee kwa vijana, mpaka waleo hakuna nyumba iliyopokea sola na ela washapiga......
 
Pole kwa hao ambao hawakupewa hizo solar, lakini tasaf ni taasisi ya serikali, chini ya ofisi rais. kwa nini hao ambao walichangishwa pesa wasilalamike ili wahusika wawajibishwe?

BTW, huo mwaka 2003 hiyo ilikuwa ni Tasaf 1, ipo 2 na hii ni tasaf 3. zote zina utekelezaji tofauti.

Wakati wa tasaf1, hakukuwa na suala la kunusuru kaya maskini, kwenye tasaf3, ndo kaya maskini zinanusuriwa kwa kupewa ruzuku na mambo mengine.

Tafadhali usiwe mchovu wa kusoma, pitia post #33 nimeweka links za vielelezo khs kinachofanyika.
 
Sawa, mkuuu....ila tuu ujanja ujanja mwingi sana....kwenye mambo ya pesa
 
Hahahhhhh.........ya nini kulazimisha kutakatisha kaniki wakati ndo rangi yake...., nakumbuka mwaka 2003/4 walikuja kijijin kwetu hao watu wa tasaf na mpango wa kuleta umeme wa jua kwa gharama nafuu....wakaimiza watu wajiandikishe na kutoa kiwango cha elf 50 kila kaya, watu wakajitokeza kwa wingi na kuanza kulipa kidogo kidogo wazee kwa vijana, mpaka waleo hakuna nyumba iliyopokea sola na ela washapiga......
Nenda kashtaki sasa wewe huoni kama huo ni utapeli
 
Back
Top Bottom