Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Wazee hapa mimi nimekwama hivi hili swala la unaenda pub unamnunulia bia manzi mnapanga kabisa kuwa hapa tunaondoka wote anakubali hapo mnapo yapanga hayo yote ni mida ya saa nne usiku ndiyo unaingia pub na umeshamchora mtoto kuwa hana mtu. Lakini inafika mida mibovu unataka kuondoka demu anakugeukia kwamba mlikubaliana umnunulie bia tu. Na wala sio kuondoka nae kwahiyo anakukackacha kama hivyo.
Sio siri jana kidogo nimpige dem na chup la Kvant ila halmashauri ya kichwa changu inakiambia "acha ubwege weweeee, huyu umemkuta hapa sasa unataka kuleta fujo za nini? Basi nikaachana nae" na manzi kanywa bia zangu nyingi sana ila muda wa kuondoka kanibadilikia.
Namnukuu, "Weeee babu weeee tena unikome, bia zako sikukuomba ulininunulia mwenyewe na wala si kwa makubaliano ya kuondoka pamoja, kama unataka kuondoka na mimi ji 100k" wakati tulishaongea kwamba tunakunywa na tunaondoka wote nitamlipa 30k (inshort demu ni mzuri na ana umbo la kueleweka).
Baada ya muda kwenda akanibadilikia kuwa anataka 100,000 kama sina baaaas.
Wazee muda huu ndiyo naamka, mashine imesimama utafikiri inataka kutembea. Demu nilimkosa kwa staili kama hiyo na ni mtoto wa singida, kiukweli nina hasira nyingi mpaka saa hizi.
Nimekuja jamvini kuuliza kwa wakulungwa swala kama hili huwa mnalisovu vipi. Dem mumekubaliana kuwa mtaondoka wote na bei mumeshapanga, kanywa bia zako nyingi, ila inafika mida mibovu anakubadilikia na huondoki nae.
Wakulungwa eeeeeeeeeeh naomba kuwasilisha.