Wazee labda tupeane uzoefu hili swala huwa mnalimaliza kwa mtindo gani?

Wazee labda tupeane uzoefu hili swala huwa mnalimaliza kwa mtindo gani?

Sasa kaka kuna kanuni zingine baandhi ya mazingira zinagoma. Imagine umefika pub, kila mtu na mishe zake, humjui mtu na wala hakujui mtu, unafanyaje mwanamke akung'ang'anie mazingira kama hayo. Kuna kanuni baadhi ya mazingira zinagoma kaka.
Mkuu kitendo cha kwenda kutafuta mwanamke wa kuondoka naye pub tu ushafeli.

Huko kwingine disappointment ni matokeo tu ya kufeli yanajidhihirisha.

Yani bora hata ungefanya miadi na mwanamke muende kukutana pub.
 
Back
Top Bottom