Wazee mmefikiwa hongera Zenu baada ya kuzinduliwa kituo cha upandikizaji Mimba

Na Wanawake Wagumba nao mbegu zinaingizwa vipi?
 
Ni hivi serikali imeweka IVF ni upandikizaji wa mimba.

Sasa kwa wale wazee walioa vigoli na hamuwezi kumpa mwanadada mimba natural way basi unaweza peleka mbegu zako akawekewe mtoto ulee wajukuu.

Hii ni nzuri kwa wazee ambao walitamani sana kupata nembo zao na humu duniani na humu wapo.

wazee sasa mtakuwa na amani yakuwa na familia maana mlikuwa mnawasi wasi na malizenu.
Nasikitika hujui hata maana ya IVF nini na wazee na IVF wapi na wapi na vibinti
 
Basi itakua madaktari walionipa huu ushauri ni waongo... nimepata huu ushauri kutoka kwa madaktari wawili mmoja pale Nairobi sitataja hospital ila ni maarufu sana kwa masuala haya ya IVF na watu wengi wanairecommend hiyo hospital na mwingine ni hapa hapa bongo....

Ila ndio hivyo sijaongea kwa kutoa kichwani wala kwa kuskia kwa mtu ila nilipata ushauri wa masaa kadhaa wa faida na hasara za hii kitu na kwenye hasara ndio zikaangukia upande huo, na huyu daktari wa bongo alisema kabisa kwamba inawezekana kweli unahitaji sana mtoto ila huyo mtoto ambae utamzaa kwa njia hiyo akaja kubadili kabisa mfumo wa maisha yako kwa maana utazaa mtoto ambae labda anapatwa na degedege so atakua anahitaji intensive care iliyoambatana na gharama hadi atakapifikia kuanzia miaka kumi na tano hivi kwenda kumi na nane ndio wengi huwa wanatengamaa ila ikishindikana hapo basi unakua ni ugonjwa wa maisha.

Na kwenye mafanikio yule wa Nairobi alisema asilimia 15 hadi 20 (hii huwa naikumbuka hadi leo ila nadhani labda kitabibu ni asilimia kubwa sana)

Anyway, wacha niendelee kulinda ID yangu nisiende saana kwenye upande huo thou namjua mmama mmoja ambae amepata watoto wake kwa njia hii na wako vizuri tu... yeye alifanyia kwenye hiyo hospital ya Nairobi.
 
Uongo
 
Back
Top Bottom