ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Unakuta mzee kabakisha miaka miwili au mmoja astaafu anaanza kuwa na hofu ya maisha baada ya kustaafu ile hali inampelekea awe katili sana linapoluja suala la pesa.Kila safari inayokuja analazimisha ahusike hata activities ambazo zinapendeza aachie Vijana anang’ang’ania.Sio vizuri kwa kweli watumeni vijana wajijengee ubobezi.kwa safari ambazo zinahusisha siasa kweli sio mbaya ukaenda Ujibie uzoefu ila za kitaalam una Pigana kabisa ligi na watoto wenye miaka mitano kazini.Hawaogopi hata ajali za barabarani kila kukicha.ushakula mamia ya mamilioni hujatoboa unadhani posho za kipindi kilichobakia utatoboa