Wazee mnazingua

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Unakuta mtu unaandika Bandiko la kusherehekea siku yako ya kuzaliwa kwenye Jukwaa, halafu ukasema umezaliwaa mwaka fulani basi watatokea Vikongwe na kuanza kusema kumbe humu tunarumbana na Vitoto.

Naomba mjue kuwa mnatukosea sana sisi wajukuu zenu.

Ushauri - Wazee tunawaomba muwe na hekima kwa wajuu zenu.

Uzi Tayari.
 
Sema watoto wa 2000 mnazingua
 
kijana naona unatema povu kwa wazee, kubalini ukweli nyie ndio mnaolumbana na wazee, ni wabishi balaa
 
Kwanza nianze kumshukuru Mama Samia kwa huu wasaha!
Pili wajukuu mtulie nanyie mtakuwa wakubwa hapo baadae
 
Kama bado una sherekea besidei wewe ni mvulana tu !!!....
 
Miaka yetu hatukuwahi kusherehekea siku ya kuzaliwa eti! Tena wengi wetu hata tarehe zenyewe za kuzaliwa hatuzifahamu!!

Vijana wa siku hizi inakuwaje mnafanya sherehe za aina hii! Mko sawa kweli?
 
Miaka yetu hatukuwahi kusherehekea siku ya kuzaliwa eti! Tena wengi wetu hata tarehe zenyewe za kuzaliwa hatuzifahamu!!

Vijana wa siku hizi inakuwaje mnafanya sherehe za aina hii! Mkosa kweli?
VIpi lakini mkiamka asubuhi mnapiga sala/dua kushukuru? Kama mnafanya hivo cha ajabu nini kushukuru kufikisha mwaka mwingine?

Kila mtu asherehekee kwa gharama zake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ