Wazee mnazingua

Wazee mnazingua

Mimi mwenyewe early thate sio mzee pia sio mtoto ila nishashtuka ni ukuda kuanza kusherehekea kumbukizi za kuzaliwa. Ikifika ni thanks to God siku ipite kimya kimya
 
Ni utamaduni wa mtu, haimpunguzii chochote mbona

Unajisumbua tu
Tena wewe unataka uchangiwe kabisa kwa ajili ya birthday. Unatinda zako nyusi, unapiga zako kajinsi kalichochanikachanika magotini na fulana yako ina picha ya Mwijaku alafu unajiona mjanjaaaaa ukiwa unasheherekea birthday yako.

Kizazi kibaya na cha zinaa hiki sijui kimetokea wapi. Mbona wazee wenu hatujawalea na kuwakuza hivyo?
 
Back
Top Bottom