Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ngoja nikauze majogoo yanguNMB bado mkuu
Ngoja niiangalie kwa majirani kama upo!Hivi kwani huko umeme umekuja?
Wew ndio yule unaetafytwa umesema port wameongezewa mshahara ni wastue nini πBAYPORT TAYARI
Hio itasoma alhamisi au ijumaa kisingizio cha adjustment mjipange nyie tumbili wa mishahara, ondokeni huko nyie ngedereHaya wazee wa mshahara leo ni siku yetu ambayo tunatumaini itafunika miaka 7 yote iliyopita.
Vipi huko ishasoma?
Wew ndio yule unaetafytwa umesema port wameongezewa mshahara ni wastue nini [emoji23]
Ngoja niwaite wakushughulikie unawasingizia tena mshahara umeingia na wamelipwa hela za likizo za miaka miwili mbeleπ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wewe unaweza kuwa mtumishi sugu. π€£ ila watumishi wanaishi kwa shida sana. Hasa wa serikali.Hio itasoma alhamisi au ijumaa kisingizio cha adjustment mjipange nyie tumbili wa mishahara, ondokeni huko nyie ngedere
Kakuambia nani wanaishi kwa shida?Wewe unaweza kuwa mtumishi sugu. π€£ ila watumishi wanaishi kwa shida sana. Hasa wa serikali.
Mzee sio poa ππππ sector binafsi kimya kimya mpaka mwisho wa mwezi kbs