Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Haya wazee wa mshahara leo ni siku yetu ambayo tunatumaini itafunika miaka 7 yote iliyopita.
Vipi huko ishasoma?
Vipi huko ishasoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikauze majogoo yanguNMB bado mkuu
Ngoja niiangalie kwa majirani kama upo!Hivi kwani huko umeme umekuja?
Wew ndio yule unaetafytwa umesema port wameongezewa mshahara ni wastue nini 😂BAYPORT TAYARI
Hio itasoma alhamisi au ijumaa kisingizio cha adjustment mjipange nyie tumbili wa mishahara, ondokeni huko nyie ngedereHaya wazee wa mshahara leo ni siku yetu ambayo tunatumaini itafunika miaka 7 yote iliyopita.
Vipi huko ishasoma?
Wew ndio yule unaetafytwa umesema port wameongezewa mshahara ni wastue nini [emoji23]
Ngoja niwaite wakushughulikie unawasingizia tena mshahara umeingia na wamelipwa hela za likizo za miaka miwili mbele😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wewe unaweza kuwa mtumishi sugu. 🤣 ila watumishi wanaishi kwa shida sana. Hasa wa serikali.Hio itasoma alhamisi au ijumaa kisingizio cha adjustment mjipange nyie tumbili wa mishahara, ondokeni huko nyie ngedere
Kakuambia nani wanaishi kwa shida?Wewe unaweza kuwa mtumishi sugu. 🤣 ila watumishi wanaishi kwa shida sana. Hasa wa serikali.
Mzee sio poa 😅😁😁😁 sector binafsi kimya kimya mpaka mwisho wa mwezi kbs