Wazee msiokote simu ni hatari, unaweza kujiingiza kwenye matatizo makubwa

Wazee Kuna jamaa yetu huku mtaani kaokota amekamatwa juzi mwenye simu kasema aliporwa million 250 kwenye begi lililokua na simu aisee sijui itakuaje hapo wakuu maana polisi wamemshikiria hawautaki hata awekewe dhamana
Afadhali yake huyo, kuna mwingine aliokota sim then akakamatwa na kuambiwa mwenye sim ile aliuwawa.
 
Ukitokota simu, vuna vifaa vyake tu uviuze kama una tamaa,kioo...betri, viswichi hivi,mic n.k then unaitupa
Ukiokota simu pekeka polisi. Hiyo process ya kuvuna vifaa tu inaweza kukukutanisha na nyapara.

Ukumbuke, si kila mara simu inayookotwa ni ilipotea, watu wana makesi ya mauaji huko wana hela zao wanatafuta wa kuwasaidia kukaa gerezani.
 
Ndio maana nimesema kama una tamaa, mimi hata kuiokota nikiiona siokoti,polisi wenyewe hawa ukiwapelekea ndio kwanza kama ina msala simu wanaanza na wewe
 
Polisi ukimpelekea anakuunganisha kwenye kesi
 
Ndio maana nimesema kama una tamaa, mimi hata kuiokota nikiiona siokoti,polisi wenyewe hawa ukiwapelekea ndio kwanza kama ina msala simu wanaanza na wewe
Na hii ndo shida ya polisi wetu Tanganyika. Shughuli ya uraia mwema inaweza kukugeukia ukasota rumande.
 
Simu ni nzuri sana ila imekuwa kama jini, ukiokota simu ni sawa na kuokota jini
 
Back
Top Bottom