Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
NomaWazee Kuna jamaa yetu huku mtaani kaokota amekamatwa juzi mwenye simu kasema aliporwa million 250 kwenye begi lililokua na simu aisee sijui itakuaje hapo wakuu maana polisi wamemshikiria hawautaki hata awekewe dhamana
Sijuikwahio?
Wewe ndio umeiokota.Wazee Kuna jamaa yetu huku mtaani kaokota amekamatwa juzi mwenye simu kasema aliporwa million 250 kwenye begi lililokua na simu aisee sijui itakuaje hapo wakuu maana polisi wamemshikiria hawautaki hata awekewe dhamana
Hamna sio mimiWewe ndio umeiokota.
Pole tafuta mwanasheria mzuri.
Afadhali yake huyo, kuna mwingine aliokota sim then akakamatwa na kuambiwa mwenye sim ile aliuwawa.Wazee Kuna jamaa yetu huku mtaani kaokota amekamatwa juzi mwenye simu kasema aliporwa million 250 kwenye begi lililokua na simu aisee sijui itakuaje hapo wakuu maana polisi wamemshikiria hawautaki hata awekewe dhamana
Duuh hatariAfadhali yake huyo, kuna mwingine aliokota sim then akakamatwa na kuambiwa mwenye sim ile aliuwawa.
Ukiokota simu pekeka polisi. Hiyo process ya kuvuna vifaa tu inaweza kukukutanisha na nyapara.Ukitokota simu, vuna vifaa vyake tu uviuze kama una tamaa,kioo...betri, viswichi hivi,mic n.k then unaitupa
Ndio maana nimesema kama una tamaa, mimi hata kuiokota nikiiona siokoti,polisi wenyewe hawa ukiwapelekea ndio kwanza kama ina msala simu wanaanza na weweUkiokota simu pekeka polisi. Hiyo process ya kuvuna vifaa tu inaweza kukukutanisha na nyapara.
Ukumbuke, si kila mara simu inayookotwa ni ilipotea, watu wana makesi ya mauaji huko wana hela zao wanatafuta wa kuwasaidia kukaa gerezani.
Sasa nikiiona barabarani nafanyaje?Wazee kuna jamaa yetu huku mtaani kaokota simu na amekamatwa juzi. Mwenye simu kasema aliporwa million 250 kwenye begi lililokuwa na simu
Aisee sijui itakuaje hapo wakuu maana polisi wamemshikilia hawautaki hata awekewe dhamana.
Pia soma
- Kwa sasa, kuokota simu si bahati tena bali ni balaa
Polisi ukimpelekea anakuunganisha kwenye kesiNdio maana nimesema kama una tamaa, mimi hata kuiokota nikiiona siokoti,polisi wenyewe hawa ukiwapelekea ndio kwanza kama ina msala simu wanaanza na wewe
Achana nayoSasa nikiiona barabarani nafanyaje?
Yaani watakutaiti kana kwamba umefanya kosa kuwa msamalia mwema.Polisi ukimpelekea anakuunganisha kwenye kesi
Na hii ndo shida ya polisi wetu Tanganyika. Shughuli ya uraia mwema inaweza kukugeukia ukasota rumande.Ndio maana nimesema kama una tamaa, mimi hata kuiokota nikiiona siokoti,polisi wenyewe hawa ukiwapelekea ndio kwanza kama ina msala simu wanaanza na wewe
Yaani polisi wa tanzania hawajielewiYaani watakutaiti kana kwamba umefanya kosa kuwa msamalia mwema.
Sahihi kabisaNa hii ndo shida ya polisi wetu Tanganyika. Shughuli ya uraia mwema inaweza kukugeukia ukasota rumande.