Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hiyo ndo taasisi gani?Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akiwasilisha zawadi mbalimbali kutoka kwa Wazee na viongozi wa Pangani walizotoa kwa Rais Samia ikiwa ni pamoja na Ng'ombe 5, Nazi na zawadi zingine tofauti.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wao watumwa tu kuwakilisha sababu hawana akiliWazee wametoa au ni yeye huyo waziri ndiye katoa hali ilivyo ngumu hivi mwananchi gani mwenye unafuu huo wa kutoa zawadi hizo!?
VEO yupo busy snHad ziara inaisha huko Tanga, tangi la machozi la Lucas Mwashambwa litakuwa tupu
Hii nchi mazuzu hawaishiWazee wametoa au ni yeye huyo waziri ndiye katoa hali ilivyo ngumu hivi mwananchi gani mwenye unafuu huo wa kutoa zawadi hizo!?
📌Kuwa kiongozi katika nchi kama hii ni raha sana, ni kama vile unaongoza watu ambao ni vipofu na wasiojitambua
Ajili ya ushirikina tupuIfike mahali ziara za Marais ziwe na heshima Sasa, tujifunze hata Kwa wenzetu, rais anafanya ziara anapewa zawadi ya Nazi???
Ha ha ha mkuu, zawadi ni zawadi si anaitwa mama ataenda kuungia mbogaIfike mahali ziara za Marais ziwe na heshima Sasa, tujifunze hata Kwa wenzetu, rais anafanya ziara anapewa zawadi ya Nazi???
Huyo awesu àlimpora jamaa mke yuke mama alikuwa mkuu wa wilaya ya pangani akafanya mke wa pili! Maccm yana dhambi sana.Tanga kwa ujinga huu wataendelea kuwa masikini milele hawana akili kabisa
Ni mshirikina balaa ndiyo maana hana nyweleHuyo awesu àlimpora jamaa mke yuke mama alikuwa mkuu wa wilaya ya pangani akafanya mke wa pili! Maccm yana dhambi sana.
HATA HUYU INAWEZEKANA KASHAURIWA NA HY WAZIR AKAPIGWE ZONGE LA PAGAN. WALA SI ZIARAAjili ya ushirikina tupu
Kaenda kuzindikwa huko ili ashinde kirahisiHATA HUYU INAWEZEKANA KASHAURIWA NA HY WAZIR AKAPIGWE ZONGE LA PAGAN. WALA SI ZIARA