Pre GE2025 Wazee na viongozi wa Pangani wamzawadia Rais Samia Ng'ombe 5, Nazi na zawadi nyingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwambieni huyo anayekabidhi zawadi kuwa huko Arusha hasa mamlaka ya mji mdogo Usa river wananchi wanabambikiwa bili za maji na kukatiwa maji hovyo hovyo,Ofisi imejaa watendaji wenye jeuri na dharau balaa.Ukifika wao ni kuongea na simu tu.
 
Hakuna zawadi nzuri kama Katiba Mpya na Tume HURU ya Uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…