Wazee na wajomba wameacha kulima, wamegeukia kwenye mahari

Wazee na wajomba wameacha kulima, wamegeukia kwenye mahari

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
625
Licha ya kuwepo kwa maeneo mengi ya kilimo, ardhi yenye rutuba, na mvua nyingi za kila mwaka lakini wazee na wajomba wa sikuhizi wameacha kulima badala yake ndoto zao wamezitega kwenye mahari za mabinti zao.

Sikuhizi kijana akijichanganya tu anakutana na mkeka wa maana. Asishangae kukutana na mkeka ufuatao.

KATARASI LA MAHARI
1. Pesa taslimu Tshs 3,000,000.
2. Matairi manne (4) ya Fuso.
3. Ng'ombe 10 wa Bibi.
4. Ng'ombe 10 wa Babu.
5. Mbuzi 10 wa wajomba.
6. Fedha ya shangazi 2,000,000
7. Friji kubwa la milango miwili.
8. Kabati kubwa la nguo.
9. Mabati bando 5.
10. Magodoro 3 ya Inchi 8.
11. Matofali Tipper 5.
12. Mifuko 200 ya cement.
13. Jiko la gesi milango miwili.
16. Vitanda viwili 5/6.
17. Uwanja wa nyumba 20/30 sqr Kigamboni au Mbezi beach.
18. Fedha za mjomba aliyemlea.
19. TV 3 za inchi 42.
20. Pikipiki 3 mpya za KingLion.
21. Engine mpya ya gari la Mjomba (Harrier).
HIYO NDIO MAHARI YAKO.
 
Wazee wa hovyo hovyo hao ila mimi kwangu sichukui mahari kwa binti yangu ,ila kijana mpumbavu akijichanganya tutamzika mapema sana, na hizo ndio taratibu za ukoo wetu .
 
Back
Top Bottom