Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwakani tena....sio msimu huuWazee na Wanachama wa Simba wa Matawi mbalimbali Jijini Dar es salam, wamefanya Mkutano na Waandishi wa habari kuzungumzia sakata la kuahirishwa kwa Mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga uliokuwa uchezwe Machi 8 mwaka huu.
ππππNdiyo wale walioitwa mbumbumbu na Rage!!
Kabla ya ujio wa GSM Yanga kachukua Ubingwa wa Ligi mara ngapi kumzidi Simba?Ukisikia hoja za wazee wa Simba,unaona tofauti kubwa sana na wale wa nyuma mwiko.Nimeona wazee wana uwezo mkubwa sana wa kuchambua matukio ya kisoka kuliko wachambuzi wengi vijana.
Leo ndio nimejua kumbe ligi ya Nigeria ilikufa kutokana na michezo kama anayofanya yanga kupitia kwa gsm.
Hapa nitawalau sana tff kwa kuwa walipaswa kujua hili na kuzuia kusiwe na match fixing