Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa mara ya mwisho alionekana Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akilalamika kuibiwa kura 2015 , naona sasa amekuja na mkakati mpya .
Mytake : Wassira bado yupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1507398
Kwa mara ya mwisho alionekana Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akilalamika kuibiwa kura 2015 , naona sasa amekuja na mkakati mpya .
View attachment 1507406
Mytake : Wassira bado yupo
Kuna mshahara mkubwa na posho kubwa za uhakika.Kunani mjengoni jamani, kila mtu anataka kuingia
Wewe una mtu wako si bureHuyu mzee anataka kuligawa jimbo kwa wapinzani kwa mara ya pili.
Mkubwa dawaWasira na Kapuya washajichokea wapumzike tu
HajajipangaHuyu Mzee kustaafu kwake Ni msamiati mgumu sana
hapana huyu mzee ametosha sasa.hata kama ninamapenzi ila kwa huyu apana.Wewe una mtu wako si bure
Duu! Mkuu hiyo picha anaapishwa na JKN ishapita nusu karne. Bado YUPO YUPO[emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517]View attachment 1507398
Kwa mara ya mwisho alionekana Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akilalamika kuibiwa kura 2015 , naona sasa amekuja na mkakati mpya .
View attachment 1507406
Mytake : Wassira bado yupo
Anakosea kugombea!huyu Mzee sielewi anakosea wapi
Kwenye kampeni si atalala jukwaani huyu?View attachment 1507398
Kwa mara ya mwisho alionekana Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akilalamika kuibiwa kura 2015 , naona sasa amekuja na mkakati mpya .
View attachment 1507406
Mytake : Wassira bado yupo
Atakuwa "anatafakari" huku amefumba macho!Hahahahaaaaa!Kwenye kampeni si atalala jukwaani huyu?