Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Sasa mkuu wewe ni mwalimu wa language na kiswahili haya mambo umejulia wapi?Wengi naona wanachukulia poa,ghono likipona,linaacha makovu kwenye urethra,mwisho wa siku inasemekana kovu husika hutuna,hivyo kuziba njia ya mkojo,ndo ile unakuta mtu kalazwa urology na mpira wa mkojo.Tuwe makini aisee....!
Mlango wa nyuma raha ukiwa msafi rafiki, pole sanaaMwisho mwa wiki iliyopita nilipatana na huyu dada ambaye baadae nilikuja kugundua ni mke wa mtu sasa wakati tumekutana nilibeba zana na nilitumia kwenye bao la kwanza baadaye aliniambia nikanunue mafuta ili nipige nyama kwa nyama kuepuka michubuano bila ubishi nilinunua wese na ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho kutumia kinga huu ni udhaifu na ujinga niliofanya kimsingi milango yote niliingia tena peku.
Siku ya leo baada ya kuvua boxer na kuona ina alama ya uchafu ulioganda nikashtuka nikajaribu kujibinya uume naona uchafu wa maziwa unatoka ikabidi nifanye maamuzi ya kwenda dispensary kupima majibu ni kuwa nina gonorrhea ikabidi haraka niulize wajuzi wa mambo ipi dawa sahihi ya kutibu hii changomoto wakaniambia Azuma nishaanza dozi.
Gonorrhea naweza kupona vipi kuhusu ukimwi sina wa kumlaumu zaidi ya nafsi yangu na tamaa zangu za mwili aliyeniambukiza nishampa taarifa yupo kimya kama hakijatokea kitu.
Wazee magonjwa ya zinaa bado yapo usipime kwa macho chukua tahadhari.
Mlango wa nyuma unamaandalizi yakee sio kukurupushana jamanMlango wa nyuma kuingia peku ndo kisanga kimeanzia hapo usirudie
Gono la nyuma usishangae hata azuma zikadunda
Condom haina radha jaman[emoji9][emoji2]Bora nipate Gono ( ambalo nina uzoefu nalo na nitalitibu kutokana na kuzijua Dawa zote ) kuliko kuniambia Nitumie Condom.
Kungwi waeleweshe kabisaMwanamke mwenye infection yoyote ile kuna harufu ambayo si ya kawaida utaifeel..
Sie wengine kabla ya kutumbukiza hazina yetu huwa tunaingiza kidole na kukinusa kwa kuzuga.. tunapata approval ya kuingia au kutoingia.
Muache mwenzako apate urodaUtanisamehe Ila we Jamaa utakufa umekenua maana kupima hupimi na inaonekana unapenda kupima oil ile michezo ya firauni ndio zako barazuli [emoji2957]
Uo ni uzinzi sio ndoaKataa NDOA
Usitumie sio nzr,Hivi hiyo PEP unakunywa baada ya muda gani
HahahahaKataa NDOA
Ndoa ni utapeli
NDOA inakuletea magonjwa
Ndoa utumwaKataa NDOA
Na ngwengwe nayo unazijua dawa zake zote bwana kaka braza?Bora nipate Gono ( ambalo nina uzoefu nalo na nitalitibu kutokana na kuzijua Dawa zote ) kuliko kuniambia Nitumie Condom.
Safi rafiki, watu unawapa wanakula mic kama kawaMm bora niendelee kupiga gitaa la solo mpaka ubolongota uombe pooo wenyewe uache kusimama toka niskie abari za HPV papiloma virus genital warts
Vipi huko ni zanzibar au ?Mwisho mwa wiki iliyopita nilipatana na huyu dada ambaye baadae nilikuja kugundua ni mke wa mtu sasa wakati tumekutana nilibeba zana na nilitumia kwenye bao la kwanza baadaye aliniambia nikanunue mafuta ili nipige nyama kwa nyama kuepuka michubuano bila ubishi nilinunua wese na ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho kutumia kinga huu ni udhaifu na ujinga niliofanya kimsingi milango yote niliingia tena peku.
Siku ya leo baada ya kuvua boxer na kuona ina alama ya uchafu ulioganda nikashtuka nikajaribu kujibinya uume naona uchafu wa maziwa unatoka ikabidi nifanye maamuzi ya kwenda dispensary kupima majibu ni kuwa nina gonorrhea ikabidi haraka niulize wajuzi wa mambo ipi dawa sahihi ya kutibu hii changomoto wakaniambia Azuma nishaanza dozi.
Gonorrhea naweza kupona vipi kuhusu ukimwi sina wa kumlaumu zaidi ya nafsi yangu na tamaa zangu za mwili aliyeniambukiza nishampa taarifa yupo kimya kama hakijatokea kitu.
Wazee magonjwa ya zinaa bado yapo usipime kwa macho chukua tahadhari.
Mkuu mwalimu wa language,anafundisha pia comprehension za passages mbalimbali,hivyo kumfanya awe na knowledge ya mambo mbalimbali pale anapofanya delivery kwa audience,hivyo usishangae mimi kujua hayo mambo.Sasa mkuu wewe ni mwalimu wa language na kiswahili haya mambo umejulia wapi?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Upi?Muache mwenzako apate uroda
Wanaume mnasimuliana mambo ya magonjwa ya ngonoAisee Kuna Nini mwezi huu,
Vijana wengi nnaowajua wameugua gono[emoji848]