Wazee tusiuze mechi mimi leo Nimeanza kutibu Gonorrhea

Wazee tusiuze mechi mimi leo Nimeanza kutibu Gonorrhea

Gono inaonekana baada ya siku tatu, eti umepima una gono ila UKIMWI hauna! Hapo bado haujapima UKIMWI umeiifariji tu!

Nakuhakikishia, utakaporudi kupima UKIMWI baada ya wiki tatu, hautakiwa na amani wakati wa kusubiri majibu, na unaweza usiende kupima kwa hofu uliyonanyo!
 
Mwanamke mwenye infection yoyote ile kuna harufu ambayo si ya kawaida utaifeel..

Sie wengine kabla ya kutumbukiza hazina yetu huwa tunaingiza kidole na kukinusa kwa kuzuga.. tunapata approval ya kuingia au kutoingia.

Kaka last month nimekutana na demu uchi msafi na huna harufu guess nimetoka na gono tena mke wa mtu.
 
Back
Top Bottom