Wazee wa Arsenal

Wazee wa Arsenal

king muller

Senior Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
104
Reaction score
56
....Inahitaji roho ngumu kulisema hili, hasa katika nyakati hizi. Nadhani Arsenal itaifunga Leicester City.

Arsenal inapata wakati mgumu ikicheza na wachezaji wenye futi nyingi na wanaoweza ku-bull game....Leicester wapo wawili tu, Wes Morgan na Robert Huth ambao ni walinzi wa kati...maeneo mengine Leicester wana wachezaji wa aina ya Arsenal.

Na wanacheza katika staili ya Arsenal kitu ambacho kinawapendeza sana Arsenal. Sishangai kuona last game Leicester alipigwa 5 kwake pamoja na ubora wake.

Timu ambazo zinaisumbua Arsenal ni zenye wachezaji wa aina ya Wanyama, Michael Essien, Mark Noble, Yaya Toure....Etc. Kante ni mzuri lakini sio bull fighter. Nadhani Arsenal wataifunga Leicester. Ni rahisi Arsenal kufungwa na Stoke kuliko Leicester....

WATCH OUT THIS SPACE by Edo kumwembe
 
..olryt,lets wait and see day after tommorrow!
 
Back
Top Bottom