Ngoja nikaangalie, Jamani hivi ulishaona wapi mtu unatuhumiwa kuua bila kukusudia halafu upo busy mahakamani unachart na simu tena umerelax kabisa. Yaani Kanumba angekuwepo leo angekuwa ashacheza na kina movie na kina Denzil washington labda hata angeshahamia Hollywood. Kanumba alikuwa ana uthubutu sana katika kazi zake.Umeona mange amekachamba,,tena kasema wasimchokonoe asijeongea ya marehem seki ,,inaonekana lulu ana kitu sio bure
Nenda kaoneNgoja nikaangalie, Jamani hivi ulishaona wapi mtu unatuhumiwa kuua bila kukusudia halafu upo busy mahakamani unachart na simu tena umerelax kabisa. Yaani Kanumba angekuwepo leo angekuwa ashacheza na kina movie na kina Denzil washington labda hata angeshahamia Hollywood. Kanumba alikuwa ana uthubutu sana katika kazi zake.
Hapo anatamani kumuingia jaji amuweke sawa,hapo ataombaa mungu sana,hapo ataenda sana kwa sangomaaa pia ilimradi aescape jelaaYaan anaona siku zinaenda haraka haraka kuanzia leo
Kana dharau sana labda anajua Kuna mbwn zake vigogo watamsaidiaaNgoja nikaangalie, Jamani hivi ulishaona wapi mtu unatuhumiwa kuua bila kukusudia halafu upo busy mahakamani unachart na simu tena umerelax kabisa. Yaani Kanumba angekuwepo leo angekuwa ashacheza na kina movie na kina Denzil washington labda hata angeshahamia Hollywood. Kanumba alikuwa ana uthubutu sana katika kazi zake.
Usijibizane na mpumbavu anaefatilia taarifa kwa kuambiwaReport ipi unayotaka? Dr aInno Moshi (Pathologist) wa MNH aliitwa Mahakama kuu kufanya nini?
Dragoon, mimi naona ni vema tu , watu wanatoa mawzo yao kadri ya uelewa wao. Tusubiri hukumu ikitoka utakuta Judge and it is no wonder, ametumia reasoning ya watu wa "sayansi kimu". Nitauweka uzi huu for reference. Haya mambo watu wanayajua maana yanawakuta ndugu zao na wana kuwa eager to know kitakachowatokea ndugu zao na hivyo kuwa na "idea" na haya mambo ya kisheria... ideaUmeona eee!
Ni kweli hakiwezi kukukuta kwa sababu huna maisha marefu unakufa muda siyo mrefu ARV zimeshafeli.Kitu Kama hisho hakiwezi nikuta kamwe.Style ya maisha yangu haiwezi niweka kwenye mazingira kama hayo.
Ni mtu maarufu Tanzania tu.Sio mauaji tu, mauaji ya mtu maarufu Afrika
Si alifika naijeria mkuuNi mtu maarufu Tanzania tu.
Alter nonsense.Undoubtedly. I think you are right, and you also have the issue of social political optics which can kill you here.
Mama Kanumba anadandia bajaji nje ya mahakama, anachekwa hakuachiwa urithi lakini effectively anatuma ujumbe mzito wa "mnyonge mnyongeni."
On the other hand Lulu anakuja mahakamani kabebwa na misafara ya ma Sports Utility Vehicle yanayoendeshwa na wanasheria wa CHADEMA. Yusuph Manji aliwakataa mawakili wa CHADEMA, na ikaja kulipa.
Huwezi kusimama kwenye podium Makao Makuu Ufipa ku host press conference kama wewe sio mwanachama-mtembea-na-kadi wa CHADEMA, unapochukua lawyer kama huyo unapita nae mitaani na misafara kwenye kesi dhidi ya Jamhuri hujui hawa majaji, wazee wa baraza, waendesha mashitaka, wana mirengo gani ya kisiasa, utamalizwa!
Bibi Tukinao mafunzo ulipata wapi? Na leseni yako ulipata wapi?Kwa nini nigonge mtu. Jamani nilipata leseni yangu baada ya kupitia mafunzo. Tena nina international leseni. Nafata sheria za barabarani. Why nigonge mtu ? Prevention zipo Jamani. Acheni kuishi Kwa nadharia.
Wewe si ndio ulidindisha kisimi chako hapa JF kushangilia Mange account yake ya Insta imedeletiwa? Kumbe ni follower wake ila chuki tu zimekujaa kenge wewe.Ngoja nikaangalie, Jamani hivi ulishaona wapi mtu unatuhumiwa kuua bila kukusudia halafu upo busy mahakamani unachart na simu tena umerelax kabisa. Yaani Kanumba angekuwepo leo angekuwa ashacheza na kina movie na kina Denzil washington labda hata angeshahamia Hollywood. Kanumba alikuwa ana uthubutu sana katika kazi zake.
Kuigiza.Alienda chumbani kwa kanumba kufanya nini wakati walikua wapenzi
Kanumba alikuwa maarufu Tanzania tu jamani mbona hadi nje walikuwa wanamjua na angekuwepo leo angekuwa anajulikana zaidiNi mtu maarufu Tanzania tu.
Hollywood wanamjuwa huyu Rapist?Kanumba alikuwa maarufu Tanzania tu jamani mbona hadi nje walikuwa wanamjua na angekuwepo leo angekuwa anajulikana zaidi
Mkuu, Kutokana na nukuu hiyo ni kuwa self defense inaweza kuwa perfect au sio perfect. Ni sawa kabisa. Kwa maneno mengine, au kwa tafsiri, nukuu hii inajikita katika dhana inayobeba neno self defence katika maana yake halisi kama utetesi mahakamani. Ili self defense ikubalike katika mahakama kuwa genuine na ilikuwa na ulazima kutakana na mazingira ya tukio, ni lazima ikidhi vigezo vifuatavyo kwa uchache:Self-Defense!
Your Lordship Dragoon, nashukuru sana. Nilikuwa nawaza kitu kama hicho! Dragoon , nadiriki kusema kama huyu binti angelipata a good criminal defense lawyer angelikuwa acquitted pamoja na kuwa bado hukumu haijatoka na hatujui hatima yake. ! Penye red, exactly huo ushahidi hautakaa upatikane. na kama alikuwa under the influence of alcohol, kuna "uwezekano" mkubwa wa kuyumba akaanguka. Bafuni huwa sometimes tunaacha vipande vya sabuni, vinateleza, tunaangukaga. Nina mifano mingi tu ya scenario kama hiyo. Binti akifungwa ni kukosa lawyer mzuri! hata ku create self exposing scenario ya kuleteleza kuteleza bafuni, chumbani etc.......Mkuu, Kutokana na nukuu hiyo ni kuwa self defense inaweza kuwa perfect au sio perfect. Ni sawa kabisa. Kwa maneno mengine, au kwa tafsiri, nukuu hii inajikita katika dhana inayobeba neno self defence katika maana yake halisi kama utetesi mahakamani. Ili self defense ikubalike katika mahakama kuwa genuine na ilikuwa na ulazima kutakana na mazingira ya tukio, ni lazima ikidhi vigezo vifuatavyo kwa uchache:
Kuhusu suala la binti huyu, ushahidi wa moja kwa moja katika mazingira ya tukio unakosekana sababu tukio lilitokea wakiwa wawili. Uzuri mwingine hakuna ushadi kuwa mtuhumiwa alimshambulia marehemu au alitumia nguvu iliyopindukia katika kujitetea. Kwa maana hiyo mtuhumiwa anao utetezi perfect self defense (au alikuwa na wasaa wa kuipa mahakama utetezi huo).
- Isitokane na gubu la ugonvi au chuki lililokuwepo awali kati ya mtuhumiwa na marehemu. Hapa ina maana kwamba self defense inatakiwa iwe mpya, au tukio la dharula kwa maana nyingine. Hakuna self defense itakubalika kama wahusika walishawaki kuwa na migongano au ugonvi unaofanana na tukio la mwisho lililopelekea kifo.
- Isifanyike katika mazingira ya ugonvi wa moja kwa moja. Mfani ni kama wawili wanapigana, mmoja akaamua kutumia nguvu ya ziada kummaliza mpinzani wake.
- Nguvu ya kupindukia haitakiwi. Nguvu hii ikitumika katika self defense inaua kabisa dhamira ya self defense.
- Self defense inatokea pale tu mtu anapotetea uhai wake, sio mali au uhai wa mwingine.
Self defense ikitetewa vyema inaweza kufanya mahakama imuachie huru muuaji! Hata hivyo inahitaji wakili mzuri katika utetezi tokea hatua za awali za kesi/mashtaka. Wengi wanakosea kuweka utetezi huu mbele ya mahakama na mwisho unaishia kusaidia kubadiri kosa na kupunguza adhabu tu.
Hata kama ni demu wako poa tu.ula wewe na familia yako