Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Yeap na hiki ndio niliambiwa na dada jana labda mahakama isifate hicho kifungu atakua amepona
 

Thank you advocate. inakuwaje iwapo mshtakiwa alitenda kosa akiwa minor?
 
Huyo rafiki yako aliweza fungwa sababu silaha iliyo tumika kujeruhi na baadae kusababisha kifo ilionekana ambayo ni jiwe na mazingira yalikua wazi kwamba kapigwa na jiwe ,kwa Lulu tofauti hakuna aliye ona nini kilitokea kama alianguka mwenywe au alisukumwa , hakuna uthibitosho huo.
 
katabia kapi hako?
Kakujishaua shaua wakati ana kesi ya kujibu. Kipindi hiki alitakiwa kutulia sana. Mtoto wa kike anatakiwa atulie. Peple might mistake you for what you are not. Kwanza zile stori anatoa mahakamani kuwa kanumba ndiye aliyemwanza haikuwa proper. Mambo ya chumbani ni chumbani sio lazima kila mtu ajue unafanya nini huko. Anyway namuonea huruma kwa sababu ana utoto sana na hajapata malezi mazuri hivyo kajilea mwenyewe. Ni vigumu kujua zuri na baya kwa mtoto ambaye kajilea mwenyewe the hard way. Na kuna ma papa kama kina kanumba wanasuri kuwameza.
 
Ngoja hizo mvua zinipate mimi badala yake ila nikitoka namuoa
 

sasa hicho unachosema ni wazi humpendi tu huyo binti na sio objectivity. umesema hisia sana. pengine ndio uGT wenyewe huo. mahakama hufanyia kazi kile kinacholetwa mahakamani kama ushahidi na sio sentiments za watu wanaompenda au wanaomchukia mshtakiwa. kuhusu nini kilikuwa proper mahakamani haliko kwenye nafasi ya onlookers, hilo ni jambo la mshtakiwa kwa vile anavyokumbuka tukio. hata kama her testimony haikupendezi labda ndio ukweli. sasa ni bora tu mahakama iamue hukumu stahiki. lakini kwa ninavyoyaangalia mazingira ya kesi binti will get 30 years in a suspended sentence.
 
Hujanielewa mkuu. Sisemi sentiments zangu ndiyo zimemfikisha hapo. I said she was in the wrong place at the wrong time. Binti wa miaka 18 kwangu bado ni mtoto na angekuwa amelala nyumbani yasingemkuta yaliyomkuta. Kwa vile kajilea mwenyewe ndiyo yanamkuta yaliyomkuta. Sina sababu ya kumchukia Lulu kwanza simjui namwona tu kwenye news. Natafakari tu kilichotokea, tabia yake ya huko nyuma maana tumesikia mengi, tabia ya sasa na kisha natoa nilivyompima. Manslaughter najua ni kifungo hicho hakwepi na wazee wa baraza wamethibitisha hilo.
 
Ni jaji Rumanyika ni jani wa kwanza ambae namkubali sina shaka na hukumu zake sasa hivi yupo za CA Natamani arudi HC binafsi nimemmiss ana msimamo na anafata sheria. Akiwa mfawithi wetu nilkifurahia kufanya kazi dah.
 
Ni jaji Rumanyika ni jani wa kwanza ambae namkubali sina shaka na hukumu zake sasa hivi yupo za CA Natamani arudi HC binafsi nimemmiss ana msimamo na anafata sheria. Akiwa mfawithi wetu nilkifurahia kufanya kazi dah.
Naomba uwe mwanasheria wangu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…