Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi hatujui au Mimi sijui ??🤗Nenda bank kaulize,. Sisi hatujui
Sawa na usd 5.Salama.. Moja kwa moja kwenye mda, nna pesa moja hapa nahitaji msaada kwa anaejua ni ya Italy inaitwa lire. Nmejaribu ifuatilia kwenye mitandao naona thamani yake ni sawa na EURO, vip kwa hapa Tanzania naweza pata kuichange, kwa anaejua tafadhali. View attachment 3093217
Yaan USD 5.46x 2,720= 13,600?? Au me ndio sijaenda shuleNimegoogle hapa nimeona taarifa kwamba, hiyo ni hela ilivyokuwa inatumika Italy hadi miaka ya 1990.
Kwa Thamani ya Sasa inakadiriwa kuwa 10,000 ITL=5.46 USD
Na hiyo 5.46 USD = 2,720 x 5.46
Ni sawa na shilingi 13,600 pesa ya Madafu
ShukraniNimegoogle hapa nimeona taarifa kwamba, hiyo ni hela ilivyokuwa inatumika Italy hadi miaka ya 1990.
Kwa Thamani ya Sasa inakadiriwa kuwa 10,000 ITL=5.46 USD
Na hiyo 5.46 USD = 2,720 x 5.46
Ni sawa na shilingi 13,600 pesa ya Madafu
Sign in ebay uiuze kama pesa ya zamaniSalama.. Moja kwa moja kwenye mda, nna pesa moja hapa nahitaji msaada kwa anaejua ni ya Italy inaitwa lire. Nmejaribu ifuatilia kwenye mitandao naona thamani yake ni sawa na EURO, vip kwa hapa Tanzania naweza pata kuichange, kwa anaejua tafadhali. View attachment 3093217
OfcourseYaan USD 5.46x 2,720= 13,600?? Au me ndio sijaenda shule
Hiyo hela yake ina Thamani ya Dollar za Marekani 5.46, ambapo Kwa tarehe ya leo, dollar 1 ya Marekani ni sawa na shilingi za Kibongo 2,720.Yaan USD 5.46x 2,720= 13,600?? Au me ndio sijaenda shule
Barikiwa Mkuu 🙏Shukrani