Wazee wa biashara na pesa, msaada wenu

Wazee wa biashara na pesa, msaada wenu

Lukanka

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
510
Reaction score
528
Salama.. Moja kwa moja kwenye mda, nna pesa moja hapa nahitaji msaada kwa anaejua ni ya Italy inaitwa lire. Nmejaribu ifuatilia kwenye mitandao naona thamani yake ni sawa na EURO, vip kwa hapa Tanzania naweza pata kuichange, kwa anaejua tafadhali.
IMG-20240908-WA0000_edit_143428714996342.jpg
 
Salama.. Moja kwa moja kwenye mda, nna pesa moja hapa nahitaji msaada kwa anaejua ni ya Italy inaitwa lire. Nmejaribu ifuatilia kwenye mitandao naona thamani yake ni sawa na EURO, vip kwa hapa Tanzania naweza pata kuichange, kwa anaejua tafadhali. View attachment 3093217
Sawa na usd 5.
 
Nimegoogle hapa nimeona taarifa kwamba, hiyo ni hela ilivyokuwa inatumika Italy hadi miaka ya 1990.

Kwa Thamani ya Sasa inakadiriwa kuwa 10,000 ITL=5.46 USD

Na hiyo 5.46 USD = 2,720 x 5.46

Ni sawa na shilingi 13,600 pesa ya Madafu
 
Yaan USD 5.46x 2,720= 13,600?? Au me ndio sijaenda shule
 
''The Italian Lira (ITL) is obsolete. It was replaced with the Euro (EUR) on January 1, 1999.
One EUR is equivalent to 1936.27 ITL.''

Pesa yako ina thamani ya Tsh. 13,277.55
 
Nimegoogle hapa nimeona taarifa kwamba, hiyo ni hela ilivyokuwa inatumika Italy hadi miaka ya 1990.

Kwa Thamani ya Sasa inakadiriwa kuwa 10,000 ITL=5.46 USD

Na hiyo 5.46 USD = 2,720 x 5.46

Ni sawa na shilingi 13,600 pesa ya Madafu
Shukrani
 
Salama.. Moja kwa moja kwenye mda, nna pesa moja hapa nahitaji msaada kwa anaejua ni ya Italy inaitwa lire. Nmejaribu ifuatilia kwenye mitandao naona thamani yake ni sawa na EURO, vip kwa hapa Tanzania naweza pata kuichange, kwa anaejua tafadhali. View attachment 3093217
Sign in ebay uiuze kama pesa ya zamani
 
Yaan USD 5.46x 2,720= 13,600?? Au me ndio sijaenda shule
Hiyo hela yake ina Thamani ya Dollar za Marekani 5.46, ambapo Kwa tarehe ya leo, dollar 1 ya Marekani ni sawa na shilingi za Kibongo 2,720.

Ambapo ukizibadirisha unapata shilingi za Kibongo 13,600
 
Back
Top Bottom