Wazee wa bundles za usiku tukutane huku, nyumbani kumenoga

Wazee wa bundles za usiku tukutane huku, nyumbani kumenoga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Baada kupata crisis za bundle hapo March 3, ilikuwa ni mtihani mzito kwa sisi (TEAM POPO) au wazee wa bundle. Za usiku kwan bundle hizi ziliondolewa na mitandao mingi hili. Ilinipelekea ugumu ku-access internet lakini sasa.

TTCL wamerudi kwenye mstari kwa Kutuletea kifurushi cha BANDIKA BANDUA, kwa buku tu unapata GB 4 za usiku na mb 500 kwa asubuhi had jioni.

Mitano tena kwaooo[emoji23][emoji23]
 
Team popo tuweke kambi hapaView attachment 1761033

Screenshot_20210423-065504.jpg
 
Ukijibiwa nitag
Nimejibu swali mkuu[emoji23][emoji23]

Mawakala mbona wengi tu mkuu sema sijajua location yako

But nenda sehemu za town coz mtandao haujaenea sana séhemu za vijijini
 
Back
Top Bottom