Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Speed ikoje!?Baada kupata crisis za bundle hapo March 3, ilikuwa ni mtihani mzito kwa sisi (TEAM POPO) au wazee wa bundle. Za usiku kwan bundle hizi ziliondolewa na mitandao mingi hili. Ilinipelekea ugumu ku-access internet lakini sasa.
TTCL wamerudi kwenye mstari kwa Kutuletea kifurushi cha BANDIKA BANDUA, kwa buku tu unapata GB 4 za usiku na mb 500 kwa asubuhi had jioni.
Mitano tena kwaooo[emoji23][emoji23]
Menu gan hyo mzeeAIRTEL GB 10 night pack njoo uku
Menu gan hyo mzee