technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Matatizo yote ya Taifa letu mmesababisha nyie wazee.
Mlisoma bure mpaka chuo kikuu Leo mnawanyima vijana mikopo.
Mlipewa ajira bure bila interview au pesa Leo mnawanyima ajira vijana na kuwapa ajira kwa rushwa.
Mmewageuza vijana machawa kwa ulafi wenu wa madaraka.
Vijana ndio waanga wa kupanda daladala kwa kusimama na vijana wanafunzi kuteseka na magari kwenda shule.
Vijana ndio waanga wa Kodi za vyumba.
Vijana ndio waanga wa kukosa viwanja vya kujenga.
Wazee ndio wachawi.
Wazee ndio wameteka ardhi.
Wazee ndio wanaanzisha ajira za kupuuzi kuwalipa vijana 150k per month!.
Wazee wameshikilia Mali zote za nchi na kufanya wanavyotaka!!
Tanzania ndio nchi pekee duniani ambayo haina kijana chini ya miaka 25 bilionea
Hii nchi imekufa chini ya wazee Sasa tunaomba turudishiwe vijana tumechoka na matusi yenu wezi na ufisadi.
Mnawatia umasikini vijana Nyerere aliichukua hii nchi akiwa kijana mdogo tu miaka 39 na aliiongoza vizuri.
Wazee mmetuangusha Sana