johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Endelea kukariri manka!Si hakuna corona? imekuwateje tena?
Hapo litatolewa tamko la kuanza kuvaa barakoa kwa lazima.Walitoka hapo wanaenda kubanana kwenye daladala? Sasa ndio wanakuwa wamefanya nini? Au corona ipo mliman city tu?
Pengo la JPM kdg kdg linaanza kuonekana. nasikia wameanza na kufukuza machinga huko.Hapo litatolewa tamko la kuanza kuvaa barakoa kwa lazima.
Kwa kiwango kikubwa waathirika kwa hapa bongo ni wale wa kwenye ac kwa sis ngoma ngumu tupo fulesh tu hakuna cha taiza,sosho distens,barakoa wala kiziba uso daladala zinajaza km kawa masokon had kkoo watu kibaoWalitoka hapo wanaenda kubanana kwenye daladala? Sasa ndio wanakuwa wamefanya nini? Au corona ipo mliman city tu?
Nadhani kuanzia leo amri inatoka ni sehemu ya mavazi mwenda zake tunamzika rasmiKiukweli nawapongeza sana wazee wa Dar es salaam kwa kuzingatia masharti ya wizara ya afya kwa kuanza rasmi kuvaa barakoa na kutembea na vitakasa mikono.
Mungu wabariki wazee wa Dar es salaam!
Saga chupa unywe..Mama anasafisha nchi.Pengo la JPM kdg kdg linaanza kuonekana. nasikia wameanza na kufukuza machinga huko.
Mbona kwenye balaza la mawaziri hakuvaa hata mmoja?Naona mama kapewa ushauri kutoka Kenya, ni mwendo wa barakoa kwa kwenda mbele. Kazi iendelee
Hawajambo huko Katoro? wamekupeleka katani kutoka HQEndelea kukariri manka!
Kiukweli nawapongeza sana wazee wa Dar es salaam kwa kuzingatia masharti ya wizara ya afya kwa kuanza rasmi kuvaa barakoa na kutembea na vitakasa mikono.
Mungu wabariki wazee wa Dar es salaam!
Hapo wakitoka nje wanazivua wanajichanganya maisha yanaendelea, barakoa bongo ni kama pambo tu unaweza ukavaa wakati ukiwa mbali na msongamano wa tu ila ukiwa karibu na msongamano wa watu unavua au leo unavaa kesho huvai.Mbona kwenye balaza la mawaziri hakuvaa hata mmoja?
Alafu mic ni ile ile kila anaongea anaenda kupumulia hapo!
Yani hii corona ya tz bhana
Hakuwaambukiza?Vaeni barakoa hii covid sio hata
Huezi kuelewa kama hujapata msiba au mgonjwa wa kutokana na huu ugonjwa
Baba angu mdogo alikufa na ile ya kwanza,alikua home anapiga nyungu huku ugonjwa ukizid kushika kasi
Alianza kulia kama mtoto manake alikua anapata tabu mno kupumua,sijaona ona mwanaume analia ila niliona pale
By the time anapelekwa amana ikawa too late,he died tue next day
Vaeni barakoa at the end of the day ukifa loss ni kwako na familia yako tu