Wazee wa Dar es Salaam hongereni kwa kuvaa barakoa

Wazee wa Dar es Salaam hongereni kwa kuvaa barakoa

Nilijua ni uamuzi wa wazee wenyewe kumbe wametakiwa kufanya hivyo namsikia Mama Samia anawaomba radhi kwa hilo.
 
Nliona kwenye kikao cha balaza la mawaziri hawajavaa barakoa,

Mpango nimemuona anapumua kwa shida yani barakoa inabonyea na kusinyaa kama chura! Bora angevua tu
Ni kweli Dr Mpango anapumua kwa shida na ile barakoa!
 
Kiukweli nawapongeza sana wazee wa Dar es salaam kwa kuzingatia masharti ya wizara ya afya kwa kuanza rasmi kuvaa barakoa na kutembea na vitakasa mikono.

Mungu wabariki wazee wa Dar es salaam!
MAKADA WA CCM, wanamdhalilisha mwendazake hata hajapasuka tumbo asee.
 
Hakuwaambukiza?
Alimwambukiza mkewe as ndie aliekua karibu nae zaidi but unajua hivi karibuni wanaume wanakufa kuliko wanawake so bibie alijitenga siku 14 mwenyewe huku akitumia madawa mbalimbali ya hospital na nyungu tunamshukuru Mungu akanusurika
Watoto hata hawakupata kabisa
 
Na wote hiyo corona walijua kuwa ndio tatizo baada ya kupimwa?
 
Ndio
Kipindi kile walikua wanapima na kutoa takwimu au umesahau mkuu?
Lakini kipindi hiko si ilikuwa akikutwa mtu na corona wanazolewa na wengine kwa hiyo nyumba, nakumbuka rafiki yangu mmoja yeye na wafanya kazi wenzie kazini waliwekwa karantini baada ya mwenzao kukutwa na corona.
 
Sasa yeye aliambiwa ajitenge kwake alafu wakazungushia utepe mtu asiingie siku 14
Unakumbuka mwishon waliacha kuwa wanapeleka wagonjwa hospital as zilizidiwa
 
Kibongo bongo maisha yetu yanatubana sana,hata ukivaa barakoa sita kama covid ipo itakupata tu
 
WOTE WALIPEWA HAPO MLANGONI.

WAMEKULA FUTARI WAMEZITUPA WAMEONDOKA KAMA WALIVYOKUJA.
 
Sasa yeye aliambiwa ajitenge kwake alafu wakazungushia utepe mtu asiingie siku 14
Unakumbuka mwishon waliacha kuwa wanapeleka wagonjwa hospital as zilizidiwa
Yani hospitali zilizidiwa wagonjwa wa corona?
 
Back
Top Bottom