johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
🤮🤮Ndugai
Wanaenda kutafuta corona haoTemeke 300, IIala 300, Kinondoni 300.. Total 900
Wamemlea sn NdugaiWagogo wana dhalilishwa sana na Ndugai?
Itapendeza zaidi!Temeke 300, IIala 300, Kinondoni 300.. Total 900
Hakuna pahala hakuna uchawi bwashee!Tupime kwenye nguvu zao za kichawi kwanza
Bila kumsahau mzee BaputistiNimeupenda huu utaratibu wa viongozi wakuu wa nchi kuongea na wazee hasa wa Dar es Salaam.
Ni vema wazee wa Dodoma nanyi mkachangamka maana ndio mko makao makuu, najua hapo yupo Malecela, Ndugai, Kimbisa, Mavunde nk...nk.
Hapa mzizima pamesheheni wazee na kesho bila shaka tutawaona akina Hemed Mkali, Mtemvu, Prof Lipumba, Sunday Manara, Baregu, Prof Safari mzee Mgaya nk...nk
Wazee ndio busara ya nchi.
Kazi Iendelee!
Bwashee usisahau salio kule kwa Nyangali!Bila kumsahau mzee Baputisti
inawezekana wazee wa dar hawasikii kwa urahisi mpaka uongee nao karibu, tofauti na wale wa dodoma ambao askofu Gwajima alisema wamepanua masikioNimeupenda huu utaratibu wa viongozi wakuu wa nchi kuongea na wazee hasa wa Dar es Salaam.
Ni vema wazee wa Dodoma nanyi mkachangamka maana ndio mko makao makuu, najua hapo yupo Malecela, Ndugai, Kimbisa, Mavunde nk...nk.
Hapa mzizima pamesheheni wazee na kesho bila shaka tutawaona akina Hemed Mkali, Mtemvu, Prof Lipumba, Sunday Manara, Baregu, Prof Safari mzee Mgaya nk...nk
Wazee ndio busara ya nchi.
Kazi Iendelee!
Hahahaaaa.......!inawezekana wazee wa dar hawasikii kwa urahisi mpaka uongee nao karibu, tofauti na wale wa dodoma ambao askofu Gwajima alisema wamepanua masikio
Wanaenda kutafuta corona hao
Uwepo wa Corona au la utajulikana kesho kwenye mechi Yanga vs Simba!Nafikiri watakuwa wako kwenye research ya Corona wanajaribu kuangalia kama India variant imeshaingia Tz au bado ... majibu tutayapata tu kwani mwanakulitafuta mwanakulipata!
Kabisa manNafikiri watakuwa wako kwenye research ya Corona wanajaribu kuangalia kama India variant imeshaingia Tz au bado ... majibu tutayapata tu kwani mwanakulitafuta mwanakulipata!