B bibiinna JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 647 Reaction score 429 Sep 27, 2016 #1 Mwenye kujuwa nini kinaendelea kuhusu malipo ya wazee wa EAC atujuze tafadhali.Nimebahatika kuwakuta pale Mnazi mmoja...hali zao zinatisha. "SOTE SISI NI WA MWENYEZIMUNGU NA KWAKE TUTAREJEA"
Mwenye kujuwa nini kinaendelea kuhusu malipo ya wazee wa EAC atujuze tafadhali.Nimebahatika kuwakuta pale Mnazi mmoja...hali zao zinatisha. "SOTE SISI NI WA MWENYEZIMUNGU NA KWAKE TUTAREJEA"
M mwasu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 10,161 Reaction score 11,536 Sep 27, 2016 #3 Hayo malipo watalipwa na serikali itakayokuwa imetokana na chama kingine chochote sio ccm.
evansGREATDeal JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 4,013 Reaction score 2,333 Sep 27, 2016 #4 laana ya hawa wazee itawatesa CCM...........miaka yoote