Tetesi: Wazee wa EAC

Tetesi: Wazee wa EAC

bibiinna

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
647
Reaction score
429
Mwenye kujuwa nini kinaendelea kuhusu malipo ya wazee wa EAC atujuze tafadhali.Nimebahatika kuwakuta pale Mnazi mmoja...hali zao zinatisha.
"SOTE SISI NI WA MWENYEZIMUNGU NA KWAKE TUTAREJEA"
 
Hayo malipo watalipwa na serikali itakayokuwa imetokana na chama kingine chochote sio ccm.
 
Back
Top Bottom