Wazee wa Etihad, nini kifanyike kesho tutoboe UEFA?

Kama Liverpool atapata goli moja basi city ashinde goli tano
 
Hali tete sana .... kama una la kumshauri Guadiola hebu weka maoni yako hapa huenda kuna mtu akayaona akampelekea ili ayafanyie kazi kesho.
Man united ingekua liver basi kesho basi la nguvu lingepakiwa na kuhakikisha tunatoka suluhu ya bila bila!!
 
Chelsea ndo alifungwa 3-1 ufaransa
Psg alipoenda darajani akafungwa 2-0
 
City atapata nafasi ya kushinda endapo atacheza kawaida bila Pressure.
 
Mi nacho ona labda gadiola aingie mwenyewe uwanjani akumbushie enzi zake pengine inaweza kuwa ahueni kwa city
 
mfumo wa 3-4-3 alioamua kuanza nao Guardiola utawagharimu kwani utaacha mashimo mengi yatakayomfanya Mo Salah kujilia pweza gizani
 
City 1..G.Jesus
Liver 2.. Salah+Firmino

AGG [1-5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…