Wazee wa Etihad, nini kifanyike kesho tutoboe UEFA?

Wazee wa Etihad, nini kifanyike kesho tutoboe UEFA?

Kama Liverpool atapata goli moja basi city ashinde goli tano
 
Hali tete sana .... kama una la kumshauri Guadiola hebu weka maoni yako hapa huenda kuna mtu akayaona akampelekea ili ayafanyie kazi kesho.
Man united ingekua liver basi kesho basi la nguvu lingepakiwa na kuhakikisha tunatoka suluhu ya bila bila!!
 
Mpira hautabiriki,kuna mwaka flan sikumbuki vizuri Ila Chelsea alicheza na PSG kule ufaransa na chelsea alishinda goli 3-1 Ila cha ajabu PSG walipokwenda England walirudisha goli zote Na wakapita kwenda semi- final......so kwa city pia msishangae akapita Na kumbukeni kwamba city nayo imejaa mafundi.
Chelsea ndo alifungwa 3-1 ufaransa
Psg alipoenda darajani akafungwa 2-0
 
City atapata nafasi ya kushinda endapo atacheza kawaida bila Pressure.
 
Mi nacho ona labda gadiola aingie mwenyewe uwanjani akumbushie enzi zake pengine inaweza kuwa ahueni kwa city
 
Back
Top Bottom