Wazee wa fix ni noma

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Niaje masela aman iwe nanyi katika bwana

Kama kichwa cha habali kinavyojieleza hapo juu

Kuna watu huwa ni wazee wa fix ile mbaya sio wakubwa tu pia kuna vijana na wazee wana fix kinoma, wanauwezo wa kukuingiza king mpaka mwenyewe ukachanganyikiwa na ukabaki huamin kilichotokea

Fix zipo aina nyingi na wapiga fix wapo wa aina nyingi

Waingizwa fix wapo wengi sana pia waingiza fix wapo wengi sana

Wewe kama mdau wa fix ni lin uliwah kuingizwa fix mpaka ukabaki mwenyewe hujielewi pia vile vile ni lin umewah kumwingiza fix kiumbe yeyote yule

Kuna wazee wa fix kwa mademu tu pia kuna wazee wa fix kwa maden

Wewe upo kundi lip mwanangu kwa mademu au maden

Mimi nishawahi kumfanyia fix ness fulan had yeye mwenyewe hakuamin macho yake

Waweza nambia ni lin na kitu gan uliwahi kuingizwa na kumwingiza mtu fix au wewe ni mtalamu wa fix za aina gan

KARIBUN TUJADILI

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawah pigwa fix lakin mimi ndo shawahi kumupiga fix demu ness yaan ni hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
Aseeh mimi kwa fix ni shida naweza kuingiza mkenge hapa hapa...

Na ujanja wangu kuna mzee mmoja nilikutana naye yule mzee aseeh hafai. Anakulainisha moyo unamwamini kama unavyojiamini mwisho akaniliza doo mazee
 
Hahahaha pole sana aisee kuna watu ni nuksi usiombe kutana nao mazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aseeh mimi kwa fix ni shida naweza kuingiza mkenge hapa hapa...

Na ujanja wangu kuna mzee mmoja nilikutana naye yule mzee aseeh hafai. Anakulainisha moyo unamwamini kama unavyojiamini mwisho akaniliza doo mazee
Afu huyo mzee usikute alikuwa mzee wa heshima kinoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku JF yenyewe kuna wataalam wa fix huwa nawaona..ila nawakaushia na sitegemei waje kunipiga fix hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…