Na kweli ww kwa fix ni hatari!Fix fix ni muhimu joo...... tueleze basi kwanza wewe ulipigwa wapi fix
Wakija watie fix hadi walainike[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli ww kwa fix ni hatari!Fix fix ni muhimu joo...... tueleze basi kwanza wewe ulipigwa wapi fix
Kuna watu humu hujifanya waganga wa kienyeji ni noma kwa fix kuna jamaa mmoja alikuwa ana lalamika kapigwa fix humu humuHuku JF yenyewe kuna wataalam wa fix huwa nawaona..ila nawakaushia na sitegemei waje kunipiga fix hahaha
Wewe sio wa kawaidaMazee joo nimpiga chalii fix sai.... nilimtahadharisha lakini
kweli mkuu asee..kuna wale wa mademu piaKuna watu humu hujifanya waganga wa kienyeji ni noma kwa fix kuna jamaa mmoja alikuwa ana lalamika kapigwa fix humu humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo yenyewe ushanitia fixNa kweli ww kwa fix ni hatari!
Wakija watie fix hadi walainike[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
kambafiksi ndio nini wahenga
Hahaa hapo mwisho umemalizia fresh sanaKipindi hiki ajira ngumu akatokea jamaa tulisoma naye O level akasema mjomba ake ana ishu ya kutulink na Tanesco elimu inayohitajika ni form four tu.
Ila inahitajika tumpe 73k na watu wanahitajika haraka mno ndani ya wiki 2 nafasi ziwe zimejazwa, kuanzia hiyo siku tuliyopata mchongo, mshahara 600k.
Mi hua fasta sana kudetect scam na scammer. Sheria kuu ni hii "Ukiona mchongo ni mtamu kuliko utamu wenyewe achana nao" sasa 73k kwa 600k ni mchongo mtam mno, kufikia hapo nikadetect hii ni scam.
Wadau tukaomba kuonana na jamaa, akaja. Nikaangalia mavazi, namna anavyoongea na ndevu zake alivyoamua kuzitunza na jinsi anavyojibu maswali (alikua anakazana sana na neno "Niaminini mimi" "Mnaweza kuja hata ofisini", tukaachana naye. Tukabaki wadau sita tunaotaka hizo nafasi tukaanza kujadiliana.
Tukamuuliza yule rafiki yetu mjomba wako una uhakika anafanya kazi Tanesco? Akajibu hua anaonana naye kwa babu tu hua hana stori naye na alicheki na shangazi yao akasema anavyojua jamaa anafanya kazi Coca. Lakini pia jamaa anaishi kwa kujitenga mno.
Tukamwambia mpange jamaa kua hii 73k siyo kubwa sisi tunataka tumpe shukrani kubwa, atuache tuingie kazini tutagawana naye mshahara. Jamaa akagoma.
Tukasema basi tukupe hiyo 73k tukiingia ofisini akagoma pia kwa madai mkono mtupu haulambwi.
Kufikia hapa nikakamilisha kua huyu ni scammer, unakataaje 1.8m over 438k? Nikawaambia wadau huyu mwana hafai.
Wakajibu ila 73k ni ndogo, nikasema zikishakua nyingi hazitakua 73k, mmoja akajibu jiangalie wewe ulichotoa siyo na cha wenzako. Nikamuuliza akienda dukani akiambiwa hii feni ni 80k atasema hawezi kununua kwakua ana 73k ya Castr na hawezi ichanganya na yako?
Mi nikasema hii deal mi najivua. Wana wakasema we are giving it a try nikawajibu poa.
Kesho yake wakampelekea jamaa pesa na cv zao, hiyo ilikua mwezi wa 3 mpaka leo wanazungushana na yule bwana.
NB. Kama tulikua wote pale kikaoni siku ile tafadhali usitaje jina langu hapa, wala usije pm.
Anhaa hiyo k inasimama badala ya 000 kwahiyo hapo ni 73,000tsh.Hahaa hapo mwisho umemalizia fresh sana
Sasa hiyo 73k ndo nini mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aha kumbeAnhaa hiyo k inasimama badala ya 000 kwahiyo hapo ni 73,000tsh.
Na kuna mshahara 600,000tsh
Taja japo mwanasiasa mmoja ambaye ni mzee wa fixWanasiasa ndio wanaongoza kwa fix...
Wakati wa kuomba kura aisee unaweza ukadhani jamaa akichaguliwa raia tutakuwa tunakinga maziwa bombani...
Shubaaaamit ngoja awe kiongozi sasa, kupata maji hadi mvua inyeshe...
Vp mkuu alikuingiza KingKuna mzee mmoja nuksi sana lakini akiongea ni kama malaika anavyofix vitu unaeza ukaamini nuksi zote zinaisha kumbe ameshamwaga nuksi tupu, fix zingine bhana huchomoki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasiasa wote...hata marais
Tena fix za mademu ndo huwa mbaya zaidHata wanawake wa fix wapo sana